Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Si ndio mpaka anipende. Kuna wanaume huwez kula hata ten lao nakuambia.kama na yeye amekupenda kwanini asimwage??
kama unapiga sana mizinga wanaume wa kawaida watakukimbia tu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio mpaka anipende. Kuna wanaume huwez kula hata ten lao nakuambia.kama na yeye amekupenda kwanini asimwage??
kama unapiga sana mizinga wanaume wa kawaida watakukimbia tu[emoji23]
...yaani ulimpa hawara sh 150,000 badala ya kumtumia baba au mama yako akakutamkia baraka?Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796
Mkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796
Nyie nao...yaani ulimpa hawara sh 150,000 badala ya kumtumia baba au mama yako akakutamkia baraka?
[emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka niandike hiki kitu.Ooh hatutaki kudate ma goal keep, majobless... tunataka wale wanaofanya kazi... haya dada Fetty huyo anamkausha bro wenu [emoji1787][emoji1787]
Unahasira mwanangu, babako nilikuita wala hujaja, umekosa nidhamu ee😂Nyie nao
Kama baba ake anazo hizo 150,000 mara 10???
Hujambo rafiki?[emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka niandike hiki kitu.
Piga nyama chini, mtu ana 2M halafu analilia 300k? tena muite gonga mzigo hala MKAPUE MABANZI YA USOAnapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796
Sijambo. Mambo??Hujambo rafiki?
hawara wa kukuomba pesa kila mara si wa kumpa. Hata kama baba anazo hizo mara milioni. Ni bora umpe tu baba yako, ni urithi wako wa baadaye.Nyie nao
Kama baba ake anazo hizo 150,000 mara 10???
Niko poa, miss you mamaSijambo. Mambo??
Toa hela.. ukiona hawara anaomba sana si usepe? Nini mnakuja kujiliza hadharani? Uwaga mnalazimishwa kwani amahawara wa kukuomba pesa kila mara si wa kumpa. Hata kama baba anazo hizo mara milioni. Ni bora umpe tu baba yako, ni urithi wako wa baadaye.
hawara wenyewe wa tz unaweza ukakuta akipewa naye anahonga kibenten chake
Santee, umemisika pia.Niko poa, miss you mama
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahhaahhah ila jamaaa uliingiaa chaka kwanini usitafute size yako inay kutosha ni sawa na mwalimu kwenda kumtongoza Rubani wa ndege na kumuhakikishia atamtunza
Wewe Hujawai kutana na kausha damu, ana salary lakini hadi pesa ya chumvi anaomba.Mkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.
Hii ni habari ya kupika.
Barikiwa mnoo (n)Santee, umemisika pia.
Sawa laki tatu ni pesa ya kupiga kelele iyo dada yangu anaachiwa na mumewe akinuna mume anambembeleza na pesa masheji waishi sana[emoji23][emoji23][emoji23]