Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Kweli kwa hio chart ya kwanza tuh kuonganisha sms ya salamu na kuomba hela hapo inaonesha jamaa ni danga alaf tena anaambiwa kashakua bahili [emoji23][emoji23][emoji23]maninaa
Hapo kwenye kumsema ubahili hata mie pamenishtua sana yani hamna mapenzi hata kidogo kuna wanawake majasiri jamani,,, ila siku hizi kuna mtindo wa kutumia dawa kuna mizizi wanatafuna ndipo wanapiga mzinga mzee hapo huchomoki itakayotamkwa utatoa tu,, baada ya hapo akili ndo inashtuka hii dunia imejaa makurumbembe aisee
 
Eehe yani 150k chap unaitumaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya toa na hiyo 300k. Demu mshahara wa 2M bado ombaombaa aiseee pole sanaa hawa viumbe washalogwaa na kuombaa helaa wanadai hela ya mwanaume tamu so hata kama akilipwa mil 10 wew unalipa laki 5 jua atakuombaa HELA TUU. huwezi kumpa achana naee.. hapo nimepengw 50k sijui kama ataniona tenaaaa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wee usiniambie
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ila nyie mna mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ