Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hapana sio lazima iwe kila mara nipe nikupe but kuna ule utayari wa kuhudumia anapohitajika upo?Umenifurahisha kwaiyo hupew had utoe huduma?
Kuna mwingine yeye anataka akikohoa tu apewe lakini ikifika muda na jamaa ana mahitaji naye anaanza sound makusudi...huyo apauke tu🤣🤣🤣
Lakini mimi sina wa hivyo
ERoni