Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

🤣🤣 labda 2m ni Gross.

Nina dada rafiki ana gross ya 1.8m na hana mkopo wa HESLB.
Ila sasaa madeniiii
Ananikopa hadi mie naelipwa afu 1.
Sasa imagine kwa bwana ake anaombaje?
Yule anaishi classic life balaa.. kwenda kula dinner Melia ye kawaida tu.
Mtu unapokea afu3 monthly, lakini unaaishi maisha ya elf 7. Hizo 4 zinatoka wapi?

Ndo hao wa mtoa mada
Wadada wengi wenye mishahara mikubwa wanaishi maisha ya juu sana. Kuna ninaofanya
Umemaliza mkuu👊
Classic halafu anaomba 300k, huyu ni adadanga tu. Wanawake classic hatuomvagi hela. We cover our own bills
 
Hahah, Sophy dunia ina mambo sana. Huyu kama ana kipato cha 2m kwa mwezi lazima jamaa asumbuke.
Kwakweli sie wa 200k sio maslay queen hatujui kuvaa sio classic acha wafe na stress hivo ela anavomwaga angekuwa amefanyia kitu Cha maana huenda angekuwa na mwanamke mwenye akili angekuwa na nyumba hata 2😀😀😀
 
I
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
la kuna watu ni waongo duniani aash
 
Back
Top Bottom