Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Ooh hatutaki kudate ma goal keeper, majobless... tunataka wale wanaofanya kazi... haya dada Fetty huyo anamkausha bro wenu 🤣🤣
Kumbe ni fetty mbona katuangusha mahajjat wenzie 😀😀 laki nne na nusu ni Hela ya mahari Kuna dadaangu kachumbiwa juz mahari laki 5😂😂😂
 
Ulivoongea ivi umenifanya niwaze kina poshqueen, geeda, sanchi, Jesca tz, kwa mionekano yao na life style zao za kidangaji huenda wanatoa ndogo Ironbutterfly
Acha tu mdogo wangu,hawa madada maslay queen wana tabu sana hapa mjini,we waone tu wanavyotamba huko Instagram,wanayoyapitia wanajua wenyewe na aliyewaumba.
 
Kama ulikuwa hujui basi habari ndio hiyo.

Ukiona mwanamke anakuomba pesa bila mpango huyo hakupendi na hajali.

Mwanamke anayekupenda anajali na future yako.

Sema nini wapo wanaume wakiona sketi tu akili zinahama.na wanapigwa sana na wadada wajanja wa mjini.

Ndio maisha lakini.

Uzeeni tutakutana tu
Wacha wapigwe tu..
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Tafuta hela simbilisi wewe
 
Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Laiti kama wangekuwa wanatoa classic services, vijana wasingekuwa wanalalamika. Muda wote wapo busy na simu na kutengeneza kucha, unadhani wana muda wa kutoa classic services kama unavyodai? Wanawaza party na mashindano muda wote.
 
Ahhaahhah ila jamaaa uliingiaa chaka kwanini usitafute size yako inay kutosha ni sawa na mwalimu kwenda kumtongoza Rubani wa ndege na kumuhakikishia atamtunza

Ooooh shit[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom