Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hahaa sasa nikamuuliza ok leo nitakupa hela itakusukuma siku kadhaa, vipi siku zinazofuta akanijibu siku za mbele nitajua nini cha kufanya.Hahahah kaishiwaje huyo au analipa kodi Masaki
Nilivyosikia tu hilo jibu lake nikampuuzia sijampa hata mia hadi sasa. Najua kuna kitu anataka anunue au afanye ila amenidanganya kuwa ameishiwa ya kula ili atumie hela zangu zake anazionea ubahiri
Mwanamke pekee anayetunzwa na kuhudumiwa ni mtoto wa mama mkwe aliyehalalishwa tu mama ya watoto wangu
Wengine wa nje ni kuwatreat kama malaya tu kupiga na kudump 🗑🚮