[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wenzetu wanapata wap watu wa hv jaman. Watu tunapauka na shida ah jaman had wivu mi hata nkipewa laki kwa mwez si nngetemea wanaume mate huko nje[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wenzetu wanapata wap watu wa hv jaman. Watu tunapauka na shida ah jaman had wivu mi hata nkipewa laki kwa mwez si nngetemea wanaume mate huko nje[emoji23][emoji23]
😅😅 Yaani Hela yangu inatuliaKwahio kila shida utakuwa unaomba hela huku wewe umeajiriwa na una mshahara mzuri? 🤣
Ndioooo🤣🤣Naona unakazia na wewe dada😂
Duh🙌🙌Labda kama you meant classic hoes maana last time i checked classic chics wanajitosheleza sana, vizinga vya laki 3 hawawezi kukupiga, USD 150 classic chics zitawasaidia nini sasa..??
Wale vizinga vyao gari za usd 30000, vacation tip ya usd 20000 and the likes. Huyo njaa tu na kampata bwana ake limbukeni basi anajipigia tu.
Nikitoa nakula [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo classic services, aagh wapi. Hawana maajabu kabisa.Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Endelea kutoboka.Hujui usemacho, asikuombe pesa amuombe nani? Rekebisha kauli
Sema hivi...mwanamke akupendaye hawezi kukuomba pesa ya kuchezea.
Tusipangiane, anayetoboka na asiyetoboka wote tunaishi na kila mmoja na shida zake..Endelea kutoboka.
Hahahah hio ndio venye inatakiwa sasa
Niweke kwa namba ipi sasa? 🤣Najua ananizingua [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Asanteee😅😅 Yaani Hela yangu inatulia
Yako ndo inatumika, kwani hujui?
Umenifurahisha
Ni nini hicho mkuu? Unaniogopesha ujueAcha nikuheshimu mamangu🤣
Wachache watakuelewa but that's a pure fact. Bongo classic chicks ni wachache sana. Wengi ndio hawa gold diggers wanaomsumbua mleta mada.Classic chicks hawana shida ya hela. Labda wanaweza kuwa na shida ya ku spend time na mtu.
Na ikitokea kwa nadra wakawa na shida ya hela wana resources nyingi. Wanajua kwao it is embarassing kuomba hela ovyo.
Ukishakuwa na shida ya hela, halafu unamganda boyfriend, anakwambia hana, unamsuta ubahili, ujue hapo ushashuka madaraja kadhaa kutoka kuwa classic chick unaenda kukimbilia ligi ya common whore.
Nilikuwa naye mmoja hapa US, nyumba Masaki, nyingine Mikocheni. Yeye tatizo lake si kupata hela, tatizo lake kuingiza hela Bongo, ile limit ya $10,000 ni ndogo sana. Nikawa namsaidia kupitia network zangu za Wall St.
Mtoto mkifanya mtoko mnagombania kulipa bill.
Ukiamua kumnunulia zawadi uamue tu, lakini huombwi hela hata siku moja.
Mtu akiniambia huyu classic chick naweza kuelewa.
Huyo anayelazimisha kupewa 300,000 ni maigizo ya classic chick labda.
Mnaendekeza uombaomba wa kimasikini halafu mnajiita classic chicks?
Acheni ujinga.
Sio pisi kali wote wanakua na tabia io ya kukamua mifuko ya wanaume, kuna wadada hawana sura, hawana tako ila wanaomba hela hao looh MademoiselleMambo ya viuno sijui sana, lakini kwa mada hii, mtoa mada ni wale wanaopenda pisi kali. Sa pisi kali zinakamua mifuko daddekkk..wanawake wasioomba hela, hawana tako, sura zao za kawaida na vijichunusi vya hapa.na pale, most of the times wanajielewa sana na wako serious na maisha. Lakini unafikiri watu aina ya mleta mada watawataka??? Wanafata wenye chura, ndo wanaishia kugharamikia chura...ndegelec..😅😅😅😅