Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Lkn wanaume na nyie kinachowaponza mna kuwa na videmu huku na kule ndio mana vizinga vikianza lazima penzi life. Nawaza kama jamaa demu mmoja anaomba laki3 na labda anao kama wanne hivi lazima akimbie [emoji23][emoji23][emoji23]
Una kandamizia sana utaua mwanangu🤣🤣
 
Lkn wanaume na nyie kinachowaponza mna kuwa na videmu huku na kule ndio mana vizinga vikianza lazima penzi life. Nawaza kama jamaa demu mmoja anaomba laki3 na labda anao kama wanne hivi lazima akimbie [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🙌 Umeona eeh
 
Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Labda kama you meant classic hoes maana last time i checked classic chics wanajitosheleza sana, vizinga vya laki 3 hawawezi kukupiga, USD 150 classic chics zitawasaidia nini sasa..??
Wale vizinga vyao gari za usd 30000, vacation tip ya usd 20000 and the likes. Huyo njaa tu na kampata bwana ake limbukeni basi anajipigia tu.
 
Kuna demu yuko London anafanya kazi kwenye international auditing company level za kina KPMG na PWC nikashangaa ananiomba hela. Nikamjibu usijali nitumie bank account nikashtuka lile jini kweli limetuma na liko serious. Nikasema hata kama ananipima kama niko serious acha tu nimkose kuliko kutuma laki 3 London kwa mtu anayepokea mamilioni kwa mwezi. NI BINTI TOKA MKOANI KILIMANJARO.
Kmmmk walai, yani umtumie mtu hela London badala yeye atume hela bongo. Uzwazwa huo! 🤣 🤣 🤣
 
Tumeumbwa tofauti sana.

Kwa namna yoyote ile siwezi kumwomba mtu hela huku nikiwa ni mtu mwenye afya njema na akili timamu.

Niko radhi kwenda hata kusafisha vyoo au kubeba zege kuliko kuomba omba kwa mtu au watu.
Ok sawa, mfano umeshikwa na shida ya muhimu mfano msiba? Ugonjwa, au mgonjwa nk. Na inatakiwa pesa ndani ya huo muda na huna utafanyeje?
 
😂😂😂😂 bora umerekebisha ulichokifanya, maana nikasema huyu leo kameza bangi mbichi. Aaliyyah
 
Back
Top Bottom