Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Inawezekana ulitumia pesa kumpata inabidi umaintain ,kama sivyo mkuu achana na wanawake weupe watakusumbua sana
 
Classic chicks hawana shida ya hela. Labda wanaweza kuwa na shida ya ku spend time na mtu.

Na ikitokea kwa nadra wakawa na shida ya hela wana resources nyingi. Wanajua kwao it is embarassing kuomba hela ovyo.

Ukishakuwa na shida ya hela, halafu unamganda boyfriend, anakwambia hana, unamsuta ubahili, ujue hapo ushashuka madaraja kadhaa kutoka kuwa classic chick unaenda kukimbilia ligi ya common whore.

Nilikuwa naye mmoja hapa US, nyumba Masaki, nyingine Mikocheni. Yeye tatizo lake si kupata hela, tatizo lake kuingiza hela Bongo, ile limit ya $10,000 ni ndogo sana. Nikawa namsaidia kupitia network zangu za Wall St.

Mtoto mkifanya mtoko mnagombania kulipa bill.

Ukiamua kumnunulia zawadi uamue tu, lakini huombwi hela hata siku moja.

Mtu akiniambia huyu classic chick naweza kuelewa.

Huyo anayelazimisha kupewa 300,000 ni maigizo ya classic chick labda.

Mnaendekeza uombaomba wa kimasikini halafu mnajiita classic chicks?

Acheni ujinga.
Hahahah say no more 🤣🤣🤣!!! Definition ya Classic Chicks kibongo bongo ni wadangaji waliojiposition vizuri kudanga high profile men. Just Golddiggers to be Precise.
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Pingpong -mpira mezani
 
Back
Top Bottom