Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Acheni uchoyo.Wanaoweza kutoa watoe tu, wengine tunaipata kwa jasho la damu haiwezi kutoka kizembe namna hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni uchoyo.Wanaoweza kutoa watoe tu, wengine tunaipata kwa jasho la damu haiwezi kutoka kizembe namna hiyo.
Atakuwa mtoto upe pee wengi ni kausha damu, wachache wenye utuNi kweli, ukimpenda mtu unakua na huruma lkn bidada hana habari kabisa. Inaonekana fika yupo kwa ajili ya hela tu.
Tuwape pesa huku nyie mkitoa nini?Acheni uchoyo.
Kwani mnataka nini?Tuwape pesa huku nyie mkitoa nini?
Umesema tutoe hela, nyie mnatoa kitu gani ili twende sawa?Kwani mnataka nini?
Sisi tunataka pesa, nyie mnataka nini? Si kila mtu anapata anachotaka au🤷🤷🤷🤷Umesema tutoe hela, nyie mnatoa kitu gani ili twende sawa?
Binafsi sina ninachotaka, siku moja moja natafuta utelezi ili mambo mengine yaende😁Sisi tunataka pesa, nyie mnataka nini? Si kila mtu anapata anachotaka au🤷🤷🤷🤷
Na si unaupata?Binafsi sina ninachotaka, siku moja moja natafuta utelezi ili mambo mengine yaende😁
Nikihitaji labda, ila sijawahi kujaribu!!Na si unaupata?
Kwahio kila shida utakuwa unaomba hela huku wewe umeajiriwa na una mshahara mzuri? 🤣Mmh huo ubahili ss jmn
Kwahiyo nataka kwenda saluni niseme
Nataka kwenda kupaka rangi niseme
Nimeona kitu kizuri nimekipenda niseme
Nataka kiatu,nguo niseme🙌🙌🙌😳
😁😁kwani ukimpa mpenzi wako kuna ubayaKwahio kila shida utakuwa unaomba hela huku wewe umeajiriwa na una mshahara mzuri? 🤣
Hahahah say no more 🤣🤣🤣!!! Definition ya Classic Chicks kibongo bongo ni wadangaji waliojiposition vizuri kudanga high profile men. Just Golddiggers to be Precise.Classic chicks hawana shida ya hela. Labda wanaweza kuwa na shida ya ku spend time na mtu.
Na ikitokea kwa nadra wakawa na shida ya hela wana resources nyingi. Wanajua kwao it is embarassing kuomba hela ovyo.
Ukishakuwa na shida ya hela, halafu unamganda boyfriend, anakwambia hana, unamsuta ubahili, ujue hapo ushashuka madaraja kadhaa kutoka kuwa classic chick unaenda kukimbilia ligi ya common whore.
Nilikuwa naye mmoja hapa US, nyumba Masaki, nyingine Mikocheni. Yeye tatizo lake si kupata hela, tatizo lake kuingiza hela Bongo, ile limit ya $10,000 ni ndogo sana. Nikawa namsaidia kupitia network zangu za Wall St.
Mtoto mkifanya mtoko mnagombania kulipa bill.
Ukiamua kumnunulia zawadi uamue tu, lakini huombwi hela hata siku moja.
Mtu akiniambia huyu classic chick naweza kuelewa.
Huyo anayelazimisha kupewa 300,000 ni maigizo ya classic chick labda.
Mnaendekeza uombaomba wa kimasikini halafu mnajiita classic chicks?
Acheni ujinga.
Kumpa haina shida, shida ni kuomba omba hovyo.😁😁kwani ukimpa mpenzi wako kuna ubaya
Unanionya nini mkuu?😌 nisameheUna tabia mbaya we dada, kila nakuonya hunisikii😂😂😂
Bongo huyo ataitwa mjinga/shangazi/mlezi maana huku wanawake mahusiano wameyageuza fursa ya kujichumia mali wengine ni kama ajira daily wanaomba posho.Bongo hao ndo classic chicks 😂😂
Huyo wako aisee , bongo si tutamuitaje 😂😂
Pingpong -mpira mezaniAnapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796
Acha nikuheshimu mamangu🤣Unanionya nini mkuu?😌 nisamehe
So sadBongo huyo ataitwa mjinga/shangazi/mlezi maana huku wanawake mahusiano wameyageuza fursa ya kujichumia mali wengine ni kama ajira daily wanaomba posho.
Mwanamke akionekana haombi hela anaonekana kituko.