Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Jmn njoo KwanguAnapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796
Mi uwe unanipa mwenyewe tu sikuombi😅😅😅😅🤣🤣🤣
Tuache utani Kuna watu Wana bahati🙌