Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Wenzetu wanapata wap watu wa hv jaman. Watu tunapauka na shida ah jaman had wivu mi hata nkipewa laki kwa mwez si nngetemea wanaume mate huko nje[emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mwanamke amekusoma, amekuona kuwa wewe boya wake. Naulisha mwonjesha huo utamaduni wa kumhonga ukiacha mtagombana. Inavyoneonekana wewe ulimpata Kwa kutumia pesa SASA tumia pesa kumantain hayo mapenzi.
 
Labda kama you meant classic hoes maana last time i checked classic chics wanajitosheleza sana, vizinga vya laki 3 hawawezi kukupiga, USD 150 classic chics zitawasaidia nini sasa..??
Wale vizinga vyao gari za usd 30000, vacation tip ya usd 20000 and the likes. Huyo njaa tu na kampata bwana ake limbukeni basi anajipigia tu.
Duh🙌🙌
Kweli maisha yanatofautiana
 
Hujui usemacho, asikuombe pesa amuombe nani? Rekebisha kauli

Sema hivi...mwanamke akupendaye hawezi kukuomba pesa ya kuchezea.
Endelea kutoboka.
 

Attachments

  • Screenshot_20230709_203109.jpg
    Screenshot_20230709_203109.jpg
    53.9 KB · Views: 3
Classic chicks hawana shida ya hela. Labda wanaweza kuwa na shida ya ku spend time na mtu.

Na ikitokea kwa nadra wakawa na shida ya hela wana resources nyingi. Wanajua kwao it is embarassing kuomba hela ovyo.

Ukishakuwa na shida ya hela, halafu unamganda boyfriend, anakwambia hana, unamsuta ubahili, ujue hapo ushashuka madaraja kadhaa kutoka kuwa classic chick unaenda kukimbilia ligi ya common whore.

Nilikuwa naye mmoja hapa US, nyumba Masaki, nyingine Mikocheni. Yeye tatizo lake si kupata hela, tatizo lake kuingiza hela Bongo, ile limit ya $10,000 ni ndogo sana. Nikawa namsaidia kupitia network zangu za Wall St.

Mtoto mkifanya mtoko mnagombania kulipa bill.

Ukiamua kumnunulia zawadi uamue tu, lakini huombwi hela hata siku moja.

Mtu akiniambia huyu classic chick naweza kuelewa.

Huyo anayelazimisha kupewa 300,000 ni maigizo ya classic chick labda.

Mnaendekeza uombaomba wa kimasikini halafu mnajiita classic chicks?

Acheni ujinga.
Wachache watakuelewa but that's a pure fact. Bongo classic chicks ni wachache sana. Wengi ndio hawa gold diggers wanaomsumbua mleta mada.
 
Mambo ya viuno sijui sana, lakini kwa mada hii, mtoa mada ni wale wanaopenda pisi kali. Sa pisi kali zinakamua mifuko daddekkk..wanawake wasioomba hela, hawana tako, sura zao za kawaida na vijichunusi vya hapa.na pale, most of the times wanajielewa sana na wako serious na maisha. Lakini unafikiri watu aina ya mleta mada watawataka??? Wanafata wenye chura, ndo wanaishia kugharamikia chura...ndegelec..😅😅😅😅
Sio pisi kali wote wanakua na tabia io ya kukamua mifuko ya wanaume, kuna wadada hawana sura, hawana tako ila wanaomba hela hao looh Mademoiselle
 
Back
Top Bottom