Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Ooh hatutaki kudate ma goal keeper, majobless... tunataka wale wanaofanya kazi... haya dada Fetty huyo anamkausha bro wenu 🤣🤣
Kumbe ni fetty mbona katuangusha mahajjat wenzie 😀😀 laki nne na nusu ni Hela ya mahari Kuna dadaangu kachumbiwa juz mahari laki 5😂😂😂
 
Ulivoongea ivi umenifanya niwaze kina poshqueen, geeda, sanchi, Jesca tz, kwa mionekano yao na life style zao za kidangaji huenda wanatoa ndogo Ironbutterfly
Acha tu mdogo wangu,hawa madada maslay queen wana tabu sana hapa mjini,we waone tu wanavyotamba huko Instagram,wanayoyapitia wanajua wenyewe na aliyewaumba.
 
Wacha wapigwe tu..
 
Tafuta hela simbilisi wewe
 
Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Laiti kama wangekuwa wanatoa classic services, vijana wasingekuwa wanalalamika. Muda wote wapo busy na simu na kutengeneza kucha, unadhani wana muda wa kutoa classic services kama unavyodai? Wanawaza party na mashindano muda wote.
 
Ahhaahhah ila jamaaa uliingiaa chaka kwanini usitafute size yako inay kutosha ni sawa na mwalimu kwenda kumtongoza Rubani wa ndege na kumuhakikishia atamtunza

Ooooh shit[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…