MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kuna demu yuko London anafanya kazi kwenye international auditing company level za kina KPMG na PWC nikashangaa ananiomba hela. Nikamjibu usijali nitumie bank account nikashtuka lile jini kweli limetuma na liko serious. Nikasema hata kama ananipima kama niko serious acha tu nimkose kuliko kutuma laki 3 London kwa mtu anayepokea mamilioni kwa mwezi. NI BINTI TOKA MKOANI KILIMANJARO.