Nyambura "umejibatiza' lini bila kunitarifu? sorry for off topic
afu wewe na nunnu mna matatizo yanafanana? kweli 'masharobaro" wamekuwa wengi siku hizi....
Oohh!!! Please Boss don't tell me kuwa unapouliza hili swali mtu anakuwa hajui wametoana wapiMnawatoaga wapi hawa watu????????
dah naomba xperience yako pls ulifanyaje na paka uyoSerious telling u hawezi kubadilika, wahenga walisema samaki mkunje angali mbichi, labda Mungu aingilie kati. Kwa kutokukujali hata kwa fedha kidogo kwa miaka yote hii, seems hakupendi, hana true love pengine mwaenda kwa mazoea tu. To me nakushauri achana nae, hata watoto ndani hata wajali kwa chakula wala ugonjwa. mwache aende, love peke yake is not enough to enter into a relationship kuna other factors to consider, love inahitaji kupaliliwa ili likuwe otherwise linaperrrish. yaliwahi kunikuta nikajidai atabadiliki yalonikuta nitayaongea siku moja humu, niliamua kumpata yule aliyekwisha nyoka mwenye tabia nizitakazo. All the best narudia kupenda pekeyake hakujitoshelezi kuingia kwenye ndoa.
Kwanza nikupe hongera kwa muda wote mliokaa naye huyo jamaa,hii inaonyesha wewe ni MKE NA SI MWANAMKE KWA HUYO JAMAA,sychology ya maisha ina mambo mengi sana!Labda kabla sijaendelea nikuhakikishie that is ur man of ur life,and the right choice to u regardless mwana JF yeyote atakavyochangia!Umesema ameingia chuo akinywa,still bado akaendelea mpaka alipopata kazi na mpaka sasa hana focus!,kuna mengi ya kutizama hapa,socially and sychologically ni kwa nini yupo hivyo,kwetu Africa kuna ugumu kutizama haya na kumsaidia mtu kuepukana na hilo,ila niamini wewe una jukumu la kwanza kumsaidia kuliko hata wazazi wake,anayo nafasi kubwa ya kukusikililiza wewe!usimzalie mtoto,mipango ya ndoa ichelewe kidogo,SASA ACHA KUMSAIDIA KIFEDHA KABISA KABISA ILA MWAMBIE SABABU,MUONYESHE WAZI UNAMPENDA ILA UNAMUADHIBU KWA VITU FULAN NIA NA KISA ABADILIKE,NDO MAANA KUNA VIBOKO SHULENI,KUNA MAGEREZA POPOTE DUNIAN,KUNA BARUA ZA ONYO KAZINI,KUNA KWARESMA NA HATA RAMADHANI,YOTE NIA NI KUBADILIKA POSTIVELY,mimi i was worse than ur guy,I drunk for more than 9years!when i got to university ready i was a drinker,i went on to b heavy drinker,known to colleagues and universityl community as a whole,as a consenquence finally i had poor academic perfomances miaka ya mwisho iliyonipelekea kurudia mwaka,.boom unalosema nilikuwa namaliza wk tu sina kitu,ni mizinga kwa washkaj na ndugu kuanzia hapo,nikamaliza nikaanza kazi bado frustration za shule zikaendelea kunisumbua,nikipata mshahara ni bar tu almost a year,with advice FROM OTHERS and personally scrutising wapi nimetoka,wapi ninaenda,NIKAWA GENTLEMEN,mpe nafasi kwa tahadhali kubwa,upendo ukiwa wazi kwake!atatambua na kujirekebisha!napita tu!
Serious telling u hawezi kubadilika, wahenga walisema samaki mkunje angali mbichi, labda Mungu aingilie kati. Kwa kutokukujali hata kwa fedha kidogo kwa miaka yote hii, seems hakupendi, hana true love pengine mwaenda kwa mazoea tu. To me nakushauri achana nae, hata watoto ndani hata wajali kwa chakula wala ugonjwa. mwache aende, love peke yake is not enough to enter into a relationship kuna other factors to consider, love inahitaji kupaliliwa ili likuwe otherwise linaperrrish. yaliwahi kunikuta nikajidai atabadiliki yalonikuta nitayaongea siku moja humu, niliamua kumpata yule aliyekwisha nyoka mwenye tabia nizitakazo. All the best narudia kupenda pekeyake hakujitoshelezi kuingia kwenye ndoa.
Kweli maana kuna siku huwa sinywi halafu unakuwaga umekunywa kidogo! Ka harufu hako!
Acha bana. Sisemi tena. Nsamehe basihalafu wewe utanitambua leo home na sikupi ile kitu uliyoniomba jana usiku!!!!!!!!!!!!!
halafu wewe utanitambua leo home na sikupi ile kitu uliyoniomba jana usiku!!!!!!!!!!!!!
mmmmh!
Huyu jamaa lazima atakua alikua anashinda Hillpark kipindi boom limeingia wakati mko chuo. Mwambie wenzake walishaachana na hayo maisha, wanafamilia na wamejijenga kikazi. Jaribu kumuonesha mfano wa rafiki zake ambao walikua nae chuo wakifanya hayo mambo pamoja lakini sasa wame excel. Ukishindwa hayo yote mshauri aende rehab.. kuna moja kinondoni kama sikosei
Acha bana. Sisemi tena. Nsamehe basi
mmmmh!