Kwanza nikupe hongera kwa muda wote mliokaa naye huyo jamaa,hii inaonyesha wewe ni MKE NA SI MWANAMKE KWA HUYO JAMAA,sychology ya maisha ina mambo mengi sana!Labda kabla sijaendelea nikuhakikishie that is ur man of ur life,and the right choice to u regardless mwana JF yeyote atakavyochangia!Umesema ameingia chuo akinywa,still bado akaendelea mpaka alipopata kazi na mpaka sasa hana focus!,kuna mengi ya kutizama hapa,socially and sychologically ni kwa nini yupo hivyo,kwetu Africa kuna ugumu kutizama haya na kumsaidia mtu kuepukana na hilo,ila niamini wewe una jukumu la kwanza kumsaidia kuliko hata wazazi wake,anayo nafasi kubwa ya kukusikililiza wewe!usimzalie mtoto,mipango ya ndoa ichelewe kidogo,SASA ACHA KUMSAIDIA KIFEDHA KABISA KABISA ILA MWAMBIE SABABU,MUONYESHE WAZI UNAMPENDA ILA UNAMUADHIBU KWA VITU FULAN NIA NA KISA ABADILIKE,NDO MAANA KUNA VIBOKO SHULENI,KUNA MAGEREZA POPOTE DUNIAN,KUNA BARUA ZA ONYO KAZINI,KUNA KWARESMA NA HATA RAMADHANI,YOTE NIA NI KUBADILIKA POSTIVELY,mimi i was worse than ur guy,I drunk for more than 9years!when i got to university ready i was a drinker,i went on to b heavy drinker,known to colleagues and universityl community as a whole,as a consenquence finally i had poor academic perfomances miaka ya mwisho iliyonipelekea kurudia mwaka,.boom unalosema nilikuwa namaliza wk tu sina kitu,ni mizinga kwa washkaj na ndugu kuanzia hapo,nikamaliza nikaanza kazi bado frustration za shule zikaendelea kunisumbua,nikipata mshahara ni bar tu almost a year,with advice FROM OTHERS and personally scrutising wapi nimetoka,wapi ninaenda,NIKAWA GENTLEMEN,mpe nafasi kwa tahadhali kubwa,upendo ukiwa wazi kwake!atatambua na kujirekebisha!napita tu!