Leo tarehe 19/06/2020, nikiwa imara kimwili, kiakili na kifikra nilipata wasaa maalumu wa kumdhamini mwombaji wa nafasi ya URAIS kupitia chama chetu #CCM Mh Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Najisikia furaha sana kuwa miongoni mwa mwanachama wachache wa #CCM tuliopata fursa hii adhimu kutokea kwa Kila miaka mitano ya Uchaguzi Mkuu Tanzania.