Uchaguzi 2020 Nimemdhamini Baba la Baba

Uchaguzi 2020 Nimemdhamini Baba la Baba

Vitalis Konga

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
127
Reaction score
231
Leo tarehe 19/06/2020, nikiwa imara kimwili, kiakili na kifikra nilipata wasaa maalumu wa kumdhamini mwombaji wa nafasi ya URAIS kupitia chama chetu #CCM Mh Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Najisikia furaha sana kuwa miongoni mwa mwanachama wachache wa #CCM tuliopata fursa hii adhimu kutokea kwa Kila miaka mitano ya Uchaguzi Mkuu Tanzania.

In Magufuli We Trust
T2020JPM

Vitalis Konga (Mwana Vasamwenda)
Njombe Mjini

IMG_20200619_161855_223.jpg
 
Tunampenda Dr JPM na 2020 atashinda kwa kishindo lakini, in God we Trust . We should not replace the super being name with human being names
 
Utakuwa boda boda wewe au mnyonge flani hivi. Maana ndyo wamepewa kipaumbele kumdhamini uyo baba yako mwenye thamani kuliko baba yako mzazi.

Hayo ndyo yalikuwa maelekezo toka juu.
 
Furaha uliyo nayo kujaza jina lako katika hiyo fomu haipimiki

 
Back
Top Bottom