figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam
Lissu nilikuwa nakuheshimu sana.
Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA.
Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au? Dunia Mungu akupe nini?
CHADEMA Mbowe alishaiuza kwa Lowassa, sasa kaipiga mnada kwa Samia.
Hadi sasa hujui nani alituma walotaka kukuua. Ila sasa utajua jinsi hupendwi CHADEMA sababu unawazibia ulaji.
Nikuwa nakuheshimu sana. Kama umefika hatua ya kukataa hela ya kuwalisha wanakijiji wa kwenu Singida Mashariki kwa miaka 10, sina nyongeza.
Jumapili nakuja Tegeta kula mbuzi Mkuu.. Ila kwenye siasa ntakusema kama navyosema watu wengine bila kujali urafi wala undugu.
Huyu mtu wa CHADEMA aliyemleta Abdully anakutakia mema. Utajiri. Anakujali sana sababu Viongozi wenzako wamepewa na wamepokea