Siyo wote ni wapenda Rushwa na dhuluma. Rais mwenyewe alisema kila mmoja atawajibika kwa mola wake hapa tunapita tu. Lissu endeleza uzalendo na roho yako iweke safi. km Mungu alikulinda usife ana sababu na wewe. Ni kiumbe chake Mola alichopendezwa nawe.
Bosi cha mtu mavi. Muulize mbowe aliyepokea hela akakataa kuhama alivyoshughulikiwa. Lisu ni muadilifu hana huo ujinga.
Ila Mbowe alichukua hela na akagoma kuhama wakuda wanasema akaitumia hiyo hela kuanzisha miradi huko moro mara umwagiliaji hai na wakaishia kuharibu miundombinu yake yote na biashara zake zote kumkomoa.
So Mbowe siyo muadilifu ni jizi na jambazi na uaji.

Hoja yako inajipinga yenyewe. Hakuna mtu aliyeshughulikiwa zaidi ya Lissu. Kupona kwake ni muujiza tu. Sasa lazima tujenge hoja zenye mantiki kwa faida ya kunoa akili zetu na za wengine pia. Kama kupokea pesa kunaendana na kushughulikiwa, basi Lissu angekuwa alipokea nyingi zaidi.
Tunatakiwa kuwafanya watu wenye siasa zisizohongeka kama Lissu kwa mfano wa kuigwa. Lazima watoa rushwa na wapokeaji waogope wakijua ni kosa la jinai na kimaadili vile vile.
Rushwa ikihalalishwa hakutakuwa na taifa. Wote watanunuliwa na wageni.
Bosi cha mtu mavi. Muulize mbowe aliyepokea hela akakataa kuhama alivyoshughulikiwa. Lisu ni muadilifu hana huo ujinga.
Ila Mbowe alichukua hela na akagoma kuhama wakuda wanasema akaitumia hiyo hela kuanzisha miradi huko moro mara umwagiliaji hai na wakaishia kuharibu miundombinu yake yote na biashara zake zote kumkomoa.
So Mbowe siyo muadilifu ni jizi na jambazi na uaji.
Roho ya Mungu Iko ndani ya TAL. Huyu sio Leo tu ndio kagoma kupokea RUSHWA za maccm; tangu nyakati za Mkwere ashagomea rushwa nyingi sana. Tukumbuke rushwa hupofusha fikra za wenye akili. Si umeona Msigwa sasa ameshakuwa mtumwa wa kubebeshwa picha za Samia?