Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

wakasema sababu ni mbegu ya ubuyu ndio imemuua?
Eti ilimkwama shingoni. Inasemekana watoto walikuwa wanacheza nje ya nyumba. Akapita mtu ambaye watoto wnamtaja kama uncle wakawapa ubuyu. Baada ya kula, mtoto mmoja ukamkwama shingoni. Kilangila.
 
mimi sifafanui kitu ila andika usia ndugu yangu huo ndio ushauri wangu wa bure kwako...hizo mbegu zina sumu kali sana..na sumu yake haina dawa kabisa.
Nikiwa mtoto nilikuwa natafuna mbegu hizo sikupata madhara. Naelewa pia wako wanaotengeneza mafuta ya ubuyu kwa kutumia mbegu hizo. Kilangila.
 
Jiandae kuziba Choo![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Hakuna madhara yoyote mkuu, itatoka tu yenyewe wakat wa defecation
 
Back
Top Bottom