Nimemfuma mke wangu akiliwa uroda daaah! Nimemuomba msamaha na yeye ameniomba msamaha tumesameana

Da mau ukiwaga na genye akili zinahamiaga matacle ni, sio kosa lako mwezi mchanga…!!
Halafu usinichoshe usije kuniambukiza uchizi bana unikwoti kwa vitu vya kueleweka… mxiewwww!!
Acha matusi bwana nani kakutukana tusiseme ukweli?? Kwani mbona mie mliposema mie kichaa nilikaa kimya saivi nimepewa vyeti vya maafali yawatu waliozidisha uchizi milembe nikaona jina lako nisikuonyeshe?? Cool down baby mama
 
Da mau ukiwaga na genye akili zinahamiaga matacle ni, sio kosa lako mwezi mchanga…!!
Halafu usinichoshe usije kuniambukiza uchizi bana unikwoti kwa vitu vya kueleweka… mxiewwww!!
Hivi mlipishanaga wapi? Mbona everything was once fine between u guys?
 
Sijawahi kupishana naye, sema mwezi mchanga kakatiza dose anarukaruka km sokwe kichakani 🤣🤣🤣🤣
Hapo mpk apigwe sindano ndio kitulie si unajua mi ndo mtunza dawa zake
 
Very sad. Au jaribu kumpotezea madam
 
Nilishampotezea sema analazimisha wa kuchat naye, mi mwenyewe ananitia kichefuchefu hajui…. Halafu sijisikii kumchamba siku hizi nimekuwa mvivu kuongea na vichaa
Doh..basi pole kwakweli.
 
Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya kusini pale akijiuza na nilimchana akanirlewa sana

Mwanzoni alionekana kubadilika sana hakutaka kusikia kitu kinachoitwa kunisaliti kabisa aisee demu anayajua sana aisee ndiyo maana sitaki kumuacha hata kwa dawa.maana amenikamata sana yaani kiuno feni aisee sio poa kabisa wakuu

Sasa jana nimemfuma akiliwa uroda na mshikaji mwingine tena nyumbanj kwangu daaah😧😧😧😧 daaah ila.jamaa akaniambia hajamla bali walikuwa wanaoga tu ila sasa kinachonishangaza kwanini wote walikuwa uchi? Jamaa nikamruhusu atoke na mke wangu akaniomba msamaha na nikamuomba msamaha tunaendelea na mapenzi yetu
Nchi ya ujamaa hii.Mambo ni kushirikiana ewe mwana-TANU.
 
Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya kusini pale akijiuza na nilimchana akanirlewa sana

Mwanzoni alionekana kubadilika sana hakutaka kusikia kitu kinachoitwa kunisaliti kabisa aisee demu anayajua sana aisee ndiyo maana sitaki kumuacha hata kwa dawa.maana amenikamata sana yaani kiuno feni aisee sio poa kabisa wakuu

Sasa jana nimemfuma akiliwa uroda na mshikaji mwingine tena nyumbanj kwangu daaah[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47] daaah ila.jamaa akaniambia hajamla bali walikuwa wanaoga tu ila sasa kinachonishangaza kwanini wote walikuwa uchi? Jamaa nikamruhusu atoke na mke wangu akaniomba msamaha na nikamuomba msamaha tunaendelea na mapenzi yetu
Ona hii kenge
 
Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya kusini pale akijiuza na nilimchana akanirlewa sana

Mwanzoni alionekana kubadilika sana hakutaka kusikia kitu kinachoitwa kunisaliti kabisa aisee demu anayajua sana aisee ndiyo maana sitaki kumuacha hata kwa dawa.maana amenikamata sana yaani kiuno feni aisee sio poa kabisa wakuu

Sasa jana nimemfuma akiliwa uroda na mshikaji mwingine tena nyumbanj kwangu daaah😧😧😧😧 daaah ila.jamaa akaniambia hajamla bali walikuwa wanaoga tu ila sasa kinachonishangaza kwanini wote walikuwa uchi? Jamaa nikamruhusu atoke na mke wangu akaniomba msamaha na nikamuomba msamaha tunaendelea na mapenzi yetu
Duuh
 
Back
Top Bottom