eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Msikilize ili muwaelewe hawa binadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata ukiwasikiliza hutowaelewa maana walivyo Leo Ni tofauti na kesho....Msikilize ili muwaelewe hawa binadamu
Hamna mbususu yako weye peke....ni mwendo wa kushare tuu hizi mbususu.Asalaam wana JF!
Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana.
Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti pekee wa chama pinzani aliyejinyakulia kiti kati ya mitaa 18 ya kata hii.
Baada ya kupokea simu ya Mwenyekiti, akanitaka tuadhimishe 9 Dec kwa kuungana na Mheshimiwa Diwani kufanya usafi Kituo cha Afya na kupanda miti maeneo hayo ili, miti ikikua, ndugu wa wagonjwa wakae chini ya vivuli kujadili bili za wagonjwa wetu na kuwasimanga manesi wavivu kuhudumia wagonjwa.
Sasa bwana, baada ya zoezi la usafi na kupanda miti kumalizika, nikarejea nyumbani.
Nilipofika nyumbani, sikuingia moja kwa moja sebuleni, nikakaa kwenye kibalaza cha kenopi kwanza. Nikiwa hapo, nilipata wasaa wa kuutazama mlimao ambao ni mrefu kuliko nyumba na nilioupanda miaka 7 iliyopita.
Haujawahi kuzaa hata mara moja, na umedhibitiwa ujanja na mchenza niliouotesha mwaka huu, ambao tayari umeweka machenza matatu.
Wakati wote, hakuna aliyejua kama nimefika maana waifu na shoga yake walikuwa wamekolea kwenye stori zao pale sebuleni. Hata hivyo, hakuna aliyeweza kutarajia kama ningerejea muda ule, maana wakati naenda kuungana na Mwenyekiti kufanya usafi, waifu aliniuliza kama nitawahi kurudi ili wapike na share yangu.
Nikamjibu nitarejea jioni, hivyo mchana wasiniwekee chakula.
Wakiwa wanaendelea na stori zao, huku mimi nikiendelea kuulaani mlimao kwa kushindwa kuzaa, ghafla nilishawishika kuvuta umakini kwenye mazungumzo ya waifu na shoga yake. Ilianza baada ya waifu kuulizwa swali na shoga yake:
"Shoga angu mwenzangu, kwenye ndoa umedumu sana. Nini siri ya mafanikio?"
Majibu ya wife:
"Nikuambie kitu besti, unapokwenda kuchota maji na ndoo kichwani, hakikisha una vidumu viwili mikononi. Maana hata ndoo ikiaanguka, utabakia umeshikilia vidumu mikononi."
Majibu hayo ya wife yalinistua sana. Nikajikuta nikiingia ndani bila hata ya kubisha hodi. Waliponiona, wote walishituka sana kwa pamoja. Baada ya dakika nne, shoga yake akaaga na kuondoka.
Wife tangu wakati huo hana amani, mpaka sasa hivi. Anajaribu kuanzisha mazungumzo lakini kila akijaribu kusema jambo, anababaika sana.
Ila majibu yake kwa shoga yake ni dhahiri shahiri kwamba alikuwa akimfundisha jinsi ya kumiliki michepuko akiwa ndani ya ndoa.
Muwe na usiku mwema. Itoshe tu kusema kwamba ndoa si sehemu salama tena.
litakuwa atulie au atoe simu yake kisha amrekodi mkewe au unaonaje hapo vishu 😄😄😄😄Aaah acha bwana enheee ikawaje apoo??
View attachment 3173518
Jamaa katutoa kabisa kwenye mada, very creative kwa kweliMwenyekiti ambaye kura hazikutosha ?
Junior Lecturer unafanya kazi chuo gani mbona dunia inakupita kwa Kasi kiasi cha kushindwa kujua Leo ni tarehe ngapi.Asalaam wana JF!
Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana.
Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti pekee wa chama pinzani aliyejinyakulia kiti kati ya mitaa 18 ya kata hii.
Baada ya kupokea simu ya Mwenyekiti, akanitaka tuadhimishe 9 Dec kwa kuungana na Mheshimiwa Diwani kufanya usafi Kituo cha Afya na kupanda miti maeneo hayo ili, miti ikikua, ndugu wa wagonjwa wakae chini ya vivuli kujadili bili za wagonjwa wetu na kuwasimanga manesi wavivu kuhudumia wagonjwa.
Sasa bwana, baada ya zoezi la usafi na kupanda miti kumalizika, nikarejea nyumbani.
Nilipofika nyumbani, sikuingia moja kwa moja sebuleni, nikakaa kwenye kibalaza cha kenopi kwanza. Nikiwa hapo, nilipata wasaa wa kuutazama mlimao ambao ni mrefu kuliko nyumba na nilioupanda miaka 7 iliyopita.
Haujawahi kuzaa hata mara moja, na umedhibitiwa ujanja na mchenza niliouotesha mwaka huu, ambao tayari umeweka machenza matatu.
Wakati wote, hakuna aliyejua kama nimefika maana waifu na shoga yake walikuwa wamekolea kwenye stori zao pale sebuleni. Hata hivyo, hakuna aliyeweza kutarajia kama ningerejea muda ule, maana wakati naenda kuungana na Mwenyekiti kufanya usafi, waifu aliniuliza kama nitawahi kurudi ili wapike na share yangu.
Nikamjibu nitarejea jioni, hivyo mchana wasiniwekee chakula.
Wakiwa wanaendelea na stori zao, huku mimi nikiendelea kuulaani mlimao kwa kushindwa kuzaa, ghafla nilishawishika kuvuta umakini kwenye mazungumzo ya waifu na shoga yake. Ilianza baada ya waifu kuulizwa swali na shoga yake:
"Shoga angu mwenzangu, kwenye ndoa umedumu sana. Nini siri ya mafanikio?"
Majibu ya wife:
"Nikuambie kitu besti, unapokwenda kuchota maji na ndoo kichwani, hakikisha una vidumu viwili mikononi. Maana hata ndoo ikiaanguka, utabakia umeshikilia vidumu mikononi."
Majibu hayo ya wife yalinistua sana. Nikajikuta nikiingia ndani bila hata ya kubisha hodi. Waliponiona, wote walishituka sana kwa pamoja. Baada ya dakika nne, shoga yake akaaga na kuondoka.
Wife tangu wakati huo hana amani, mpaka sasa hivi. Anajaribu kuanzisha mazungumzo lakini kila akijaribu kusema jambo, anababaika sana.
Ila majibu yake kwa shoga yake ni dhahiri shahiri kwamba alikuwa akimfundisha jinsi ya kumiliki michepuko akiwa ndani ya ndoa.
Muwe na usiku mwema. Itoshe tu kusema kwamba ndoa si sehemu salama tena.
Watot wa "vidumu" ,sio watot wa "ndoo"Mkeo inaonekana huo mchezo kauanza zamani sana,chunguza hao watoto yawezekana sio wa kwako ni wa masela
hasa pale alipokuwa akiulaani mti usiozaa, nikamkumbuka Masihi na mtini akiwa na wanafunzi wakeUna kipaji cha kunogesha story....keep it up
Yaah bila hivyo anatupanga huyu, anam Sakizia mkewelitakuwa atulie au atoe simu yake kisha amrekodi mkewe au unaonaje hapo vishu 😄😄😄😄
Kumbe Wewe unauza sikujua hiliSi bora unioe mie ambaye nakuuzia bila kificho. Kuliko huyo mkeo kungwi kahaba wa siri. ATAKUUA GHAFLA
Ahahaha mkuu kwema lakiniYaah bila hivyo anatupanga huyu, anam Sakizia mkewe
Sio kwema hali ngumu, hapa nasubiri mkopo toka kwa ndgu yangu wa damu Rich John ili walau nisogeze siku.Ahahaha mkuu kwema lakini
Tatzo ww mkorofi vishu...Sio kwema hali ngumu, hapa nasubiri mkopo toka kwa ndgu yangu wa damu Rich John ili walau nisogeze siku.
Kama ilivyo nyumba yake, kaijenga mwenyewe na anatetwa mumo mumo😁.Miti ikikua wagonjwa wapate kivuli waweze kuwateta manesi
Nilishakukataza kugombana na watu, ntakuchapa mnoTatzo ww mkorofi vishu...
Haya sasa sbr mwezi wa kwanza likitoka boom tuu lazima niku bless au vipi 😄😄😄🙌