Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndioo😂😂😂😂halafu ujue wewe si mzima. Nimecheka balaaSisi vidumu huwa tuna akili zinafanana 😆
Acha kuwaza huo ujinga unaoitwa ndoa utakufa siku si zako.Duh, mnatuogopesha vijana
KATAA NDOAAsalaam wana JF!
Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana.
Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti pekee wa chama pinzani aliyejinyakulia kiti kati ya mitaa 18 ya kata hii.
Baada ya kupokea simu ya Mwenyekiti, akanitaka tuadhimishe 9 Dec kwa kuungana na Mheshimiwa Diwani kufanya usafi Kituo cha Afya na kupanda miti maeneo hayo ili, miti ikikua, ndugu wa wagonjwa wakae chini ya vivuli kujadili bili za wagonjwa wetu na kuwasimanga manesi wavivu kuhudumia wagonjwa.
Sasa bwana, baada ya zoezi la usafi na kupanda miti kumalizika, nikarejea nyumbani.
Nilipofika nyumbani, sikuingia moja kwa moja sebuleni, nikakaa kwenye kibalaza cha kenopi kwanza. Nikiwa hapo, nilipata wasaa wa kuutazama mlimao ambao ni mrefu kuliko nyumba na nilioupanda miaka 7 iliyopita.
Haujawahi kuzaa hata mara moja, na umedhibitiwa ujanja na mchenza niliouotesha mwaka huu, ambao tayari umeweka machenza matatu.
Wakati wote, hakuna aliyejua kama nimefika maana waifu na shoga yake walikuwa wamekolea kwenye stori zao pale sebuleni. Hata hivyo, hakuna aliyeweza kutarajia kama ningerejea muda ule, maana wakati naenda kuungana na Mwenyekiti kufanya usafi, waifu aliniuliza kama nitawahi kurudi ili wapike na share yangu.
Nikamjibu nitarejea jioni, hivyo mchana wasiniwekee chakula.
Wakiwa wanaendelea na stori zao, huku mimi nikiendelea kuulaani mlimao kwa kushindwa kuzaa, ghafla nilishawishika kuvuta umakini kwenye mazungumzo ya waifu na shoga yake. Ilianza baada ya waifu kuulizwa swali na shoga yake:
"Shoga angu mwenzangu, kwenye ndoa umedumu sana. Nini siri ya mafanikio?"
Majibu ya wife:
"Nikuambie kitu besti, unapokwenda kuchota maji na ndoo kichwani, hakikisha una vidumu viwili mikononi. Maana hata ndoo ikiaanguka, utabakia umeshikilia vidumu mikononi."
Majibu hayo ya wife yalinistua sana. Nikajikuta nikiingia ndani bila hata ya kubisha hodi. Waliponiona, wote walishituka sana kwa pamoja. Baada ya dakika nne, shoga yake akaaga na kuondoka.
Wife tangu wakati huo hana amani, mpaka sasa hivi. Anajaribu kuanzisha mazungumzo lakini kila akijaribu kusema jambo, anababaika sana.
Ila majibu yake kwa shoga yake ni dhahiri shahiri kwamba alikuwa akimfundisha jinsi ya kumiliki michepuko akiwa ndani ya ndoa.
Muwe na usiku mwema. Itoshe tu kusema kwamba ndoa si sehemu salama tena.
hahahahaha hapa umetumia akili kubwa sana, hongera sanaKama ilivyo nyumba yake, kaijenga mwenyewe na anatetwa mumo mumo😁.
Huo mlimao wako n jike. Hili uweze kuzaa Malimao lazima utafutie Dume.Asalaam wana JF!

Likitoka boom utamkumbuka kweli ndgu yako wa damu Vishu Mtata huku miuno ya uzazi ya mamdogo Dorry inakusubiri, wacha utani dogoTatzo ww mkorofi vishu...
Haya sasa sbr mwezi wa kwanza likitoka boom tuu lazima niku bless au vipi 😄😄😄🙌
Shangaz dorry jau sana ujueLikitoka boom utamkumbuka kweli ndgu yako wa damu Vishu Mtata huku miuno ya uzazi ya mamdogo Dorry inakusubiri, wacha utani dogo
Ahaaaa jamaniKuna dalili kubwa kwa mkeo ashapasua ndoo,yupo na vidumu
Mle tiGo huyoAsalaam wana JF!
Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana.
Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti pekee wa chama pinzani aliyejinyakulia kiti kati ya mitaa 18 ya kata hii.
Baada ya kupokea simu ya Mwenyekiti, akanitaka tuadhimishe 9 Dec kwa kuungana na Mheshimiwa Diwani kufanya usafi Kituo cha Afya na kupanda miti maeneo hayo ili, miti ikikua, ndugu wa wagonjwa wakae chini ya vivuli kujadili bili za wagonjwa wetu na kuwasimanga manesi wavivu kuhudumia wagonjwa.
Sasa bwana, baada ya zoezi la usafi na kupanda miti kumalizika, nikarejea nyumbani.
Nilipofika nyumbani, sikuingia moja kwa moja sebuleni, nikakaa kwenye kibalaza cha kenopi kwanza. Nikiwa hapo, nilipata wasaa wa kuutazama mlimao ambao ni mrefu kuliko nyumba na nilioupanda miaka 7 iliyopita.
Haujawahi kuzaa hata mara moja, na umedhibitiwa ujanja na mchenza niliouotesha mwaka huu, ambao tayari umeweka machenza matatu.
Wakati wote, hakuna aliyejua kama nimefika maana waifu na shoga yake walikuwa wamekolea kwenye stori zao pale sebuleni. Hata hivyo, hakuna aliyeweza kutarajia kama ningerejea muda ule, maana wakati naenda kuungana na Mwenyekiti kufanya usafi, waifu aliniuliza kama nitawahi kurudi ili wapike na share yangu.
Nikamjibu nitarejea jioni, hivyo mchana wasiniwekee chakula.
Wakiwa wanaendelea na stori zao, huku mimi nikiendelea kuulaani mlimao kwa kushindwa kuzaa, ghafla nilishawishika kuvuta umakini kwenye mazungumzo ya waifu na shoga yake. Ilianza baada ya waifu kuulizwa swali na shoga yake:
"Shoga angu mwenzangu, kwenye ndoa umedumu sana. Nini siri ya mafanikio?"
Majibu ya wife:
"Nikuambie kitu besti, unapokwenda kuchota maji na ndoo kichwani, hakikisha una vidumu viwili mikononi. Maana hata ndoo ikiaanguka, utabakia umeshikilia vidumu mikononi."
Majibu hayo ya wife yalinistua sana. Nikajikuta nikiingia ndani bila hata ya kubisha hodi. Waliponiona, wote walishituka sana kwa pamoja. Baada ya dakika nne, shoga yake akaaga na kuondoka.
Wife tangu wakati huo hana amani, mpaka sasa hivi. Anajaribu kuanzisha mazungumzo lakini kila akijaribu kusema jambo, anababaika sana.
Ila majibu yake kwa shoga yake ni dhahiri shahiri kwamba alikuwa akimfundisha jinsi ya kumiliki michepuko akiwa ndani ya ndoa.
Muwe na usiku mwema. Itoshe tu kusema kwamba ndoa si sehemu salama tena.
kaishaliwa mkeoAsalaam wana JF!

Kabisa tena Kwa watu wanaoishi mbali,na wenye kazi zakubangaiza ndio majanga kabisa,wkt mwingine wakinamama humtoshelezi na unachompatia nae anaenda winda nje ili apate hela zakutanya mambo yake pia,ambayo mengine huyajui kabisaMkuu kuchapiwa ni Siri ya ndani nakushauri kama mmekaa kwenye ndoa miaka yote hamna shida sasa usije ukajaribu kuchunguza hayo maneno kitakachofata hapa mungu ndio atakae amua na maisha sasa hamna mwanamke wa peke yako na ndio maana wazee wetu wa zamani wanasema ukikaa mda mrefu hujafika nyumbani siku utakayoenda mwambie mama watoto nakuja walishayaona
Hapa ameongea kama Nan ??😂Mwenyekiti ambaye kura hazikutosha ?