Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

Hapo wewe ndo mwenye makosa
1. Kwanza kwanini unamuita mtu Wa miaka 38 kuwa ni Wa makamo? Huyo bado kabisa. Hapa ulifanya uzembe kumchukulia poa.

2. Kwanini ulirudi nyumbani ghafla? Si bora hata ungetafuta alternative huko ofcn kwako?

3. Kosa jingine...kwanini uliwaacha wawili tu? Hakuna kipindi mwanamke anahitaji faraja kama akiachwa....mwanamke akipigwa chini kumchukua ni rahisi mno kama kibogoyo kutafuna maini.
 
Kuna Uzi mmoja unaelezea hatua za ndoa kufa! Inaonekana wewe ni mvivu, kila siku mgongo unakuuma!
 
Naona mnachangamsha kijiwe cha JF na chai zenu.


 
Panapofuka moshi jua chini yake kuna moto.Jaribu kufatilia root yenu inaezekekana hiyo ni tabia iliyozoeleka ndani ya familia yenu.Mwanaume hawezi kumtongoza mama mdogo kama mama mdogo hajajilegeza kwake hata siku moja.Labda nikwambie wanaume huwa tunaogopa mwanamke anayeonyesha hataki mambo ya kijinga na mwenye msimamo.#MWANZO WA NYEGE NI KUNYEGESHANA
 
Ila kuna tabia ambayo imewagharimu watu wengi ingawa wengine wanaipuuzia sana,ukaribu wa mwanaume au mwanamke na mashemeji wa gender tofauti,inafikia mahali mtu anamwambia mume wake mi leo sijisikii kutoka nenda na shemeji yako,jamaa anatoka na shemeji yake wa kike wanakaa huko masaa 4 au 5,tena mbaya zaidi ukute wote ni wanywaji wa pombe,mambo mengine mi naona ni kama kujitakia...
 
Mshkaji wako alikua na nyege alafu naona ulikua unambania akitaka mambo unamuambia umechoka si ndo zenu.Bimkubwa nae hana uchoyo alikua anakusaidia usikasirike msamehe muendelee na maisha
 
Hii picha kila nikiionaga nacheka mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani nijikute namwambia wife nenda na shemeji yako? Labda niwe niko ICU chemotherapy imedunda nasubiria kufa tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Atakuwa huyo mamdogo alianza kujinyegeza kwa bahasha wake...Kimsingi hio kauli hapo chini ni ukweli mtupu.

#Mwanzo wa kutongozwa ni kujichekelesha ovyo na kujirahisisha.

Wanaume huwa tunasoma alama za nyakati. Unaanzaje kumchomekea vimaneno vya kizushi mtu mzima ambaye anajiheshimu na kuku treat kama mdogo wake.
 
Hilo ni funzo kwa wanawake wote duniani wanaopenda kufuga viben 10..na kufunga marioo majumbani mwao.
 
Rudisha jikoni hii chai angalau ipate moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…