Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Duh kweli dunia ni tambala bovu, yani hata mrembo kama wewe unasalitiwa na jamaa!
 
Ngoja nilete viti
Adam-Voges-Steve-Smith-and-David-Warner-of-Australia-carry-chairs-after-a-team-photo-during-a-...jpg
 
Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Kuwa makini binti
 
Achana nae huyo #cutelove HANA JIPYA,
Huwa ana stori za kubumba
 
Sikwami mkuu,kila kitu nampa

Trust me. Kuna eneo unakwama. Either jamaa ameshakwambia hujafanyia kazi au alikua kavumilia tu hajakwambia bado.
Ila tambua kua kuna eneo unakwama
 
Mama mdogo kajilengesha hakuna unapokwama usiwaze sana. Yani simba hata awe ameshiba sana ukijipitisha pitisha sana mbele yake lazima akulalue. Yani wanaume wengi tuko hivi, hata uniletee wanawake 1000 uniambie nichague mmoja ninayemuona mzuri kuliko wote, nitachagua ila roho itaniuma nikiwaza wa 999 niliyowaacha.
 
Wanaume tuna mambo mengi sana kichwani, mpaka kuna mda tunasahau kuwa tuna wapenzi tunatembea na wengine. Mtusamehe na kutuzoea tu, hamna namna
 
Ndio tatizo la kurudi rudi nyumbani wakati ulishaaga watu wanajua unarudi jioni!

Siku nyingine usisahau document ni uzembe kazini na siunaona usahaulifu wako unakuharibia mahusiano na ndugu yako na boy wako pia.

Usingekuwa msahaulifu haya yote yasingetokea.
 
Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.

Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Acha kumlaumu mama yako mdogo bure. Iko hivi mwanamke yeyote yule anaweza akaliwa kama factor tatu zitakuwepo

1. Environment - Mama yako mdogo mazingira yalikuwa yanamruhusu. Wamebaki ndani wawili na wewe umeenda tayari kazini
2. Time - Ilikuwa inaruhusu kwani alfajiri hivyo walikuwa wana uhakika hakuna movement na pia hali ya hewa
3. Feeling - Umetuambia Mama mdogo kaachika hivyo alikuwa na hamu pia

Kwahiyo kwa mazingira tajwa hata ingekuwa ni wewe dada pia ungeliwa. Chakujifunza hakikisha ziku zote unamuepushia mwenza wako kukutana na hizo factor tatu kwa wanaume na wanawake
 
Back
Top Bottom