Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadaye niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadaye nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua

Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.

Lini ume anza kuuza chai??
 
Kizuri kula na nduguyo
 
Pole sana
 
Sisemi vibaya lakini wewe ulitarajia iweje?
Hata kama boy wako angekuwa padri nahisi angemega vile vile.
 
huyo boy wako unamlelea? unakaa vipi na mwanaume nyumbani kwako wiki nzima
 
Kawaida hapa nataka kumla mdogo wa demu wangu maombi yenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadaye niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadaye nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Mkuu mamdogo alikuja kukusalimia hapo finland?
 
Ukisema mkuu wa mkoa alikuwa sahihi kusema wanaume ni ndugu zake shetani unakosea, kwani mama ako alibakwa? Siku nyingine sema mmeo na mama ako mdogo ni ndugu zake shetani; hapo utakuwa sahihi
 
Ndugu asikuumize kichwa, ni stori ya kutunga tu!!
 
Something is wrong somewhere, si kwamba natetea uovu, la hasha. Wanawake sometimes mnazingua tena sana. Unaweza kunyima bila sababu, au kutoa ili mradi tu kumridhisha Mme. Kha, umelala km gogo, ndo nini.. Tena umeona kabisa dalili wamezoeana ndani ya muda mfupi, ulitakiwa unajiongeza, MPE mzigo tena ufundi juu.. Huo muda wa kuchepuka atawaza SAA ngp. Opportunists watawatesa sana, endeleeni kuwa rigid.. na wanaume walivyo wa tamaa tamaa. Watachepuka sana tu
Umeongea fact ila hutaeleweka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatareeeeh San lol
 
Back
Top Bottom