NORTHERNIST
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 304
- 247
baba yako mzazi pia ni mwanaume na wewe ni product yakekweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baba yako mzazi pia ni mwanaume na wewe ni product yakekweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Hiu ni hadithi ya kutungaNi huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadaye niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadaye nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Kwani humu jukwaani kuna wanawake??Et mtoa post ni mwanaume
Bayo gamila ....Something is wrong somewhere, si kwamba natetea uovu, la hasha. Wanawake sometimes mnazingua tena sana. Unaweza kunyima bila sababu, au kutoa ili mradi tu kumridhisha Mme. Kha, umelala km gogo, ndo nini.. Tena umeona kabisa dalili wamezoeana ndani ya muda mfupi, ulitakiwa unajiongeza, MPE mzigo tena ufundi juu.. Huo muda wa kuchepuka atawaza SAA ngp. Opportunists watawatesa sana, endeleeni kuwa rigid.. na wanaume walivyo wa tamaa tamaa. Watachepuka sana
Y'all never chill. Nilikuwa sina hamu ya kucheka lakini nimekosa namna. Mbavu zinauma.Kabla ya watu kukupa ushauri ni vema wakapitia huu Uzi ili kujua wanatoa ushauri kwa mtu wa aina gani Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown
Ni hayo tu