Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi, lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita lakini bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia nikawakuta wanasex live, nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadaye niliwataka wanifungulie mlango wakagoma, nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadaye nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndio nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo Mungu ndio anajua.
Hiu ni hadithi ya kutunga
 
Kuna kitu hakiko sawa[emoji848][emoji116]

Kuna stori hapa,
1. Jamaa analalamika mama mkwe anamkuwadia kwa MAMA AKE MDOGO mpenzi wake.

2. cutelove analalamika mpenz wake katembea na mama ake mdogo.
Screenshot_20210225-175357.jpg
Screenshot_20210225-175417.jpg
 
Unapataje ujasiri mpaka wa kishika simu na kuandika mwandiko kama upo katika mashindano ya mwandiko?

Nina shaka kama siyo chips mayai kwa ben10
 
Something is wrong somewhere, si kwamba natetea uovu, la hasha. Wanawake sometimes mnazingua tena sana. Unaweza kunyima bila sababu, au kutoa ili mradi tu kumridhisha Mme. Kha, umelala km gogo, ndo nini.. Tena umeona kabisa dalili wamezoeana ndani ya muda mfupi, ulitakiwa unajiongeza, MPE mzigo tena ufundi juu.. Huo muda wa kuchepuka atawaza SAA ngp. Opportunists watawatesa sana, endeleeni kuwa rigid.. na wanaume walivyo wa tamaa tamaa. Watachepuka sana
Bayo gamila ....
 
Back
Top Bottom