theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
awezi singizia chochote mkuu..... kama kafanya kwelii ataishia kung'atang'ata maneno...... hawa mabinti siku hizi hawaaminiki kabisaa.....😡😡😡tatizo naye anawez asiamini, lakin nahisi hata mwanamke anaweza nisingizia kuwa namtaka mimi, yaan ili,kuniwahi, ila ntajua tu, maana ndo mbinu zao
Chukulia unamwambia ndugu yako alafu ana amua kujitundika yeye au kummaliza mkewe.....unafikiri utakua umemsaidia??kaka umeongea busara mno
Sky very true. Jifanye kama hamjawahi kutana na huyo shemeji yako. Wakigombana wakapatana utabaki na aibu. Tena waweza kuonekana wewe kidudu mtu!!Du swala hapa ni magonjwa tu mengine hayakuhusu.
Wakiwa ndani ya shuka wanachoongea hakuna mtu anajua.Sky very true. Jifanye kama hamjawahi kutana na huyo shemeji yako. Wakigombana wakapatana utabaki na aibu. Tena waweza kuonekana wewe kidudu mtu!!
Sky nyoosha sentensi yako. SijakupataWakiwa ndani ya shuka wana too he's hakuna anarudi yajua
Usijiroge kusema, itakula kwako.tatizo naye anawez asiamini, lakin nahisi hata mwanamke anaweza nisingizia kuwa namtaka mimi, yaan ili,kuniwahi, ila ntajua tu, maana ndo mbinu zao
Ha Ha Ha!Porojo za JF.
Ukiona jihabari reefu la udaku ujuwe ni porojo. Ubuyu wa kweli huwa mfupi halafu mchachu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea umbea ivi utachunguliaje ya mtu ili mladi tu mtu apate vya kupost jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee Una nguvu na ujasiri saaana, uende tu kwenye nyumba ya mtu uanze tu kuchungulia kwenye madirisha ya Watu!!! Hii Kali Sana, jiepushe na hii tabia Sio nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Jamaa akinyamaza,si busara.Unachopaswa ni kumwambia huyo shemeji yako kuwa anachokifanya sio kitu kizuri na ni dhambi. Hupaswi kumwambia mwenye mke unapaswa kumwonya huyo mkewe hivyo ndivyo wenye busara huwa wanafanya. Kwa sababu ukimwambia mumewe wanaweza wakaachana then baadaye huyohuyo mwanaume akaja kukulaumu wewe kwa nini ulimwambia ni afadhali ungenyamaza. Nimeyaandika haya kwa experience niliyonayo.