Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

Katika hiyo hali ni vema kushirikisha ubongo zaidi kuliko hisia zako.

Usipo kaa vizuri huyo mwanamke atajisemelea kwamba unamtongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan dah! Inauma!! Kwan uyo bidada ana mtoto na uyo kaka ako???? Na kama hana n bora utafute njia nzur ya kumweleza utampoteza uyo kaka ako awa mabos baadh yao n wafu wanao tembea atamwambukiza magonjwa yake, ila sometime wanwake sijui aturidhki ahaa!!! Inakeraaa
 
tatizo naye anawez asiamini, lakin nahisi hata mwanamke anaweza nisingizia kuwa namtaka mimi, yaan ili,kuniwahi, ila ntajua tu, maana ndo mbinu zao

Mkuu usisahau kuleta mrejesho wa kutimuliwa kwa kusakiziwa kesi na shemeji.
 
Wewe mkuu ungepiga picha tu ili uwe na uthibitisho, tofaut na hapo bora ukae kimya tu, ila umwambie jamaa awe makini sana na mke wake kama ana akili atajiongeza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo boss wa shemeji yako why apange appointment nawe siku ambayo alijua atamtafuna? nashindwa kuelewa ana lengo gani na wewe?!

Mi nashauri umfuate huyo boss umchane makavu kuhusu ubaradhuli afanyao kwa mke wa mtu.
Ikiwezekana mtishie kumweleza mwenye mke ikiwa hatasitisha mahusiano.
 
Hapo anapokwambia ana mazungumzo na wewe lengo lake akutunuku k ili usiseme. Malaya ni malaya tu hawezi kuacha, labda anapumzika tu. Muokoe nduguyo, muepushe na limalaya hilo litamuua mapema. Kama anatoa uchi kwa sababu ya wema aliotendewa (kupewa ajira), it means yupo tayari kuitoa popote atakaposaidiwa tena. Anaifanya kuwa mali ya umma.
Utajisikiaje siku ukiambiwa nduguyo ana ngwengwe, na kaambukizwa na mkewe?

Mimi siwezi kukaa kimya nikiona shemeji yangu yeyote anazingua, nitasema tu bila kujali matokeo yake maana nawapenda ndugu zangu, nawaeleza ukweli hata kama hawaupendi....

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Asipoamini ni shauri yake kama ww umesema ukweli utapungukiwa nn?
Mkuu.. huyu jamaa ana ushahidi / kidhibiti kitakachosupport maneno yake? Alipiga hata picha ya ushahidi?

Vipi akimwambia huyo jamaa thn mwanamke akakataa kuwa hakufanya chochote?

Hatahivyo, sina uhakika kama habari hii ni ya kweli.....bas tu !
 
Maombi ya mahusiano hayaingiliwi,acha ajuae mwenyewe kuliko useme,huwezi jua mapokeo yake yatakuaje.unaweza mwambia akamuua,utasababisha matatizo zaidi.mapenzi magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…