The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Kukaa kwa kaka zenu, kuchunga wake zao, mwisho wa siku mnabaka hata watoto.
Khaaa unaongea sana..
kaka moood moood
tehe tehe tehe tehe tafuta ushahidi wa kutosha ndio umwambie usije geuziwa kibao...............wakati naenda nikaona kama TOBO fulani unaweza ona ndani alafu kama vile kuna mtu, nikaamua kuchungulia, mwanamke sikuweza kumtambua haraka maana alikuwa kakaa mezani katoa nguo za chini kaamuangalia mwanaume aliyeshusha suruali kidogo, kama ka mlegezo fulani hivi, alafu mwanamke anafanya action ya kujisukumiza kwa mwanume , niliishiwa mood nikasema na hivi ni weekend ngoja naichek hii movie
Hehhe ujue kuachana napo inategemea... Ukimpenda mtu na umetoka nae mbali na mna familia sio maamuzi mepesi... Mda mwingine bora kutojua tuDUNIA HAIARIBIWI NA WATENDA MABAYA ,,BALI DUNIA ITAARIBIWA NA WANAOTIZAMA WATU WANATENDA MABAYA ALAFU WAKAKAA KIMYA .
Upendo wako kwahuyo kaka utakua hauna maana ikiwa utamkalia kimya wakati nisuala linalohatarisha maisha yake .
Wewe nimwanamme ,unajielewa , Muite jamaa nende naye maeneo yambali kidogo jaribu kuongea naye kupitia maswali nakisha mweleze .
Asiposadiki achana naye we umefanya yako . kuna Siku atakushukuru ...... Nilichoumia nipale unaposema anasomesha wadogo wamkewe ,,kalipa 7 M , anamsaidia kila hitaji lake .
Ningekua Mimi kaka yako alafu nikajua kua naww ilikua unajua ,,kwanza undugu ungekwisha ( sipendi mtu anayeoona amtope usoni MWANGU alafu haniambii ).
Ningefukuza mwanamke aende Kwa bosi wake wakale raha... Akishapigwa chini ndo arudi..
Katika maisha nilazima tujifunze kutiruhusu kuumizwa nakutoruhusu kuwazishwa .....
Sawa ,, kwaiyo unataka siku jamaa akuombe ushauri kuhusu afya yake???? Ndo useme mke wako alikua anachepuka ??? Au utakaa kimya???Hehhe ujue kuachana napo inategemea... Ukimpenda mtu na umetoka nae mbali na mna familia sio maamuzi mepesi... Mda mwingine bora kutojua tu
Wanaochepuka wote wanapataga ukimwi???!!Sawa ,, kwaiyo unataka siku jamaa akuombe ushauri kuhusu afya yake???? Ndo useme mke wako alikua anachepuka ??? Au utakaa kimya???
Nani kakuambia magonjwa ya ya zinaa niukimwi tu ????Wanaochepuka wote wanapataga ukimwi???!!
Mi ngekaa kimya tu.,mana ukisema huo mtafaruku sio wa nchi hii
Vibaya sana..ila kama kaficha na anafanya bidii kuficha sio kesi..hao malaika wakuishi nao mnawataka kutoka wapi...ni ishu kama usaliti ni very open..mapenzi yanakosa maanaNani kakuambia magonjwa ya ya zinaa niukimwi tu ????
Anyway ,, wewe mume wako akiwa anatembea na mfanyakazi wako utajisikiaje ???
Well ,, naktika kufanya bidii yakuficha ,,lkn ndugu yako wakaribu akawa anajua ,.... Sasa vipi utakayojua kua mumeo anachepuka naukajua pia kua Dada yako naye anajua mumeo mchepukaji ila hakuwah kukuambia ,,VP utamuonaje Dada yako ???Vibaya sana..ila kama kaficha na anafanya bidii kuficha sio kesi..hao malaika wakuishi nao mnawataka kutoka wapi...ni ishu kama usaliti ni very open..mapenzi yanakosa maana
Ntamuelewa kwamba hakutaka kuniumizaWell ,, naktika kufanya bidii yakuficha ,,lkn ndugu yako wakaribu akawa anajua ,.... Sasa vipi utakayojua kua mumeo anachepuka naukajua pia kua Dada yako naye anajua mumeo mchepukaji ila hakuwah kukuambia ,,VP utamuonaje Dada yako ???