Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Wewe usalama wa taifa gani unashindwa kusovu tatizo dogo kama hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka umeongea busara mnoMwambie kaka yako yeye ndio atajua andelee nae au vipi.
Kuna vitu inabidi uwe muwazi tu
kaka umeongea busara mnoMwambie kaka yako yeye ndio atajua andelee nae au vipi.
Kuna vitu inabidi uwe muwazi tu
Dahhh inasikitisha ndoa changaaabado hawajapata watoto maana kaoa mwaka jana mwezi wa kumi
Sidhani kama huyu anastahili kuitwa mbeya...
Anaweza kumlinda kaka yake na magonjwa yasiyotibikaSidhani kama huyu anastahili kuitwa mbeya...
Anaonyesha tayari anazo options mbili kwenye hili kusema au kutokusema na zote anazireason kwenye comments zake.
Lakini kwangu, rafiki yangu wa karibu kunieleza jambo baya nalofanyiwa na mtu mwingine awe mke baba mama ndugu Jirani na likagundulika ni la kweli huo sio umbeya. Ni msaada
Anaweza KumLinda kaka yake na magonjwa yasiyotibika
Au a type barua na kuipostExactly,
Kama ataamua kusema basi atafute njia tofauti na ya kufahamika aliyesema.
Kwangu huu sio umbeya.
Jambo la kwanza usiwe na mazungumzo na uyo mwanamke anaweza kukurubuni na wewe ukaingia kwenye mtego.
Jaribu kujiweka mbali sana na yeye.
awezi singizia chochote mkuu..... kama kafanya kwelii ataishia kung'atang'ata maneno...... hawa mabinti siku hizi hawaaminiki kabisaa.....😡😡😡tatizo naye anawez asiamini, lakin nahisi hata mwanamke anaweza nisingizia kuwa namtaka mimi, yaan ili,kuniwahi, ila ntajua tu, maana ndo mbinu zao