Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

muache utamfumanie tena utapata hasira then atakupa case ya kuua,jite moyo kimbia
 
Kwa Nini umetuandikia hapa hii habari Yako!?
 
Kuna watu wengine matatizo mnatafuta wenyewe
 
Mbona kama una vinasaba vya ubwege? Yaani umemfumania anapigwa miti mara 3 na umemsamehe na bdo unataka kumuoa??

My God! Hivi Wanaume wengine Mna mioyo ya aina gani? Aisse!! I wish ningekuwa wewe nifanye kitu Kwa huyo mwanamke.

Unachokitafuta soon utakipata. inachokitafuta hapo ni kifo tu hamna kingine anza kujichimbia kaburi kabisa
 
mimi mwenyewe nimemroga huyu wangu,lakini wewe umerogwa vibaya sana
 
Hapo tatizo n wewe brother wala sio mwanamke. Unashindwa kuchukua maamuzi na kuyasimamia. Hauna msimamo. Utaendelea kuchezeshwa io kamali hadi unazeeka
 
Mimi nipe namba ya mganga wake maana ni kiboko, hadi mwanaume unakuwa zezeta
 
Hak
Hakutaki. Face it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…