Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

Siyo dawa yake Bali Mwanamke ni Apendwe avalishwe midhahabu mwili uwe laini, avae nguo nzur, ale vizur, awe Laini kwa ajili Yako, hivyo yaan, eti umfungulie biashara apate pesa, wewe mwanaume thamani Yako ni nini? Mjegeje anaupata popote thamani Yako wewe ni Huduma na pesa. Imeisha, unakubali sawa hukubali ushahidi umeanza kuuona. Lkn zingatia pesa si yake pesa ni ya biashara na anataka biashara ijiendeshe siku mkizinguana biashara ashajua mtaji anao, akiba anayo wewe wa nini?
 
Siku ukikwama kwenye utafutaji wako ukawa tegemezi kwake hata miezi miwili tu atakuacha kama pigo zake ndiyo hizo!

Hiyo ni major red flag,bora umhujumu afilisike kabla hajaota mapembe!😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…