Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
According to psychology
Women don’t need balance even if they have money they will want you to pay for every expenses
Women don’t need balance even if they have money they will want you to pay for every expenses
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi