Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Ni bora iwe kwa ajili ya matumiz yake bila wewe kumwambia na usitegemee hela kwake.
Anzisha na biashara zingine
Wao wanakuwa hivi hela zake ni zake na kushare sio sana
Ila ww ndio unashare
Ila ukisema utegemee sana hela zake
Atakataa kabisa
Anzisha na biashara zingine
Wao wanakuwa hivi hela zake ni zake na kushare sio sana
Ila ww ndio unashare
Ila ukisema utegemee sana hela zake
Atakataa kabisa