Ilishawahi kunikuta hiyo, baishara ikawa tamu nikakodi mpaka stoo ya mizigo kwa ajili ya bidhaa. Baadae nikanasa kadi ya benki nisiyoitambua, baadae jeuri zikaanza.
Nikaamua kumweka kando, alikuwa akinitafuta kila mara na sikutaka tena usumbufu.
Nilichogundua wanawake wengi wanafosi kuwa watiifu kwa waume zao kwa kuwa tu hawana njia mbadala wa kiuchumi.
Mimi mwanamke na mthamini tu kwa kuwa ananilelea familia yangu ila sina expectations kubwa sana kwake, anytime akitaka kuleta shida the door is open, sitaki ndoa ya maigizo mimi.