Nimemgonga mke wa bro leo asubuhi

Nimemgonga mke wa bro leo asubuhi

Kibaiskeli-kitanda


ulipoingia ndani shemeji yako akamwaga taka........................
 
Niaje wazeiyaaah..
MKO Bwaxx....

Kesho lazima Ronaldo achukue ndoo ile kwan ni muhim kwenye mchakato wa ballon dor 2016 ambayo obvious kajamaa kanachukua (Messi tupa kuleee)

Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo (sio zile za Sports HQ ya 93.7 FM)

Sasa issue iko hivi mazee :
Leo asubuhi nimemgonga mke wa bro wangu...

Nimefunga chuo nimekuja dar likizo kwa bro huku kibada kigamboni..
Ebanaee, leo jmosi bro huyooo kutafuta pesa, hana weekend wala ckukuu (ana ki frame pale kariakoo)

Mle ndan kuna ki baskeli nikakitoa nikawa napiga zoezi nacho...
Sasa ile namalizia round ya mwisho (ya nne) naingia hivi getini kumbe shem anatoka kwenda kumwaga taka taka....
EBANA Eee nikamkwarua na steringi ya baskeli kachubuka mkononi...
Hata hivo damu hazijatoka..

USHAURI :
Tuwe makin tunapo fanya mazoezi mazee.....

Tchaoooooo
Ha ha ha rudi shuleni hunaadabu
 
Ebbbbbbo??? Mimi nikafikiri tayari umejishindia "HYUNDAI" a.k.a "Papuchi" nikaja mbio ili niripoti matukio@
 
Nimewahi kweli,nkajua mambo yetu yaleeee...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee nomaaa
 
Kumbe umemgonga kwa baiskeli mimi nilijua yale mambo yetu yale cha muhimu mpe pole huduma ya kwanza na mpeleke hospitali
 
Kukosa kazi za kufanya ni janga. Tanzania ya viwanda yaja.
 
Back
Top Bottom