Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chiz kweli wewDah wewe sio wale baba nanii alisema mnaitwa sijui kina nani vileee!?
Ha ha ha rudi shuleni hunaadabuNiaje wazeiyaaah..
MKO Bwaxx....
Kesho lazima Ronaldo achukue ndoo ile kwan ni muhim kwenye mchakato wa ballon dor 2016 ambayo obvious kajamaa kanachukua (Messi tupa kuleee)
Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo (sio zile za Sports HQ ya 93.7 FM)
Sasa issue iko hivi mazee :
Leo asubuhi nimemgonga mke wa bro wangu...
Nimefunga chuo nimekuja dar likizo kwa bro huku kibada kigamboni..
Ebanaee, leo jmosi bro huyooo kutafuta pesa, hana weekend wala ckukuu (ana ki frame pale kariakoo)
Mle ndan kuna ki baskeli nikakitoa nikawa napiga zoezi nacho...
Sasa ile namalizia round ya mwisho (ya nne) naingia hivi getini kumbe shem anatoka kwenda kumwaga taka taka....
EBANA Eee nikamkwarua na steringi ya baskeli kachubuka mkononi...
Hata hivo damu hazijatoka..
USHAURI :
Tuwe makin tunapo fanya mazoezi mazee.....
Tchaoooooo
Utasikia wanaume wa dar hao,tuna shida wana darisalameeeHahaha subiri lawama za kichwa cha habari cha uzi me napita
Hapo hata mimi ameniwezaHahaha subiri lawama za kichwa cha habari cha uzi me napita
Wale vijana wa UDOMchuo gan unasoma uko ivi