Nimemiss Chenja

Ninini iko??
Hizo ni nyimbo ambazo Kuruta huimba wakiwa depo...huko kwenye kambi za jeshi mfano Ruvu jkt, Kabuku Jkt, bulombora jkt, makutopora, Monduli, Mafinga n.k.

Nyimbo hizo huimbwa kwa ajili ya kuchangamka na kutia hamasa ya uchapaji kazi jeshini..

Pia katika matembezi marefu (Route Match) hizi nyimbo pia huimbwa
 
Daah sitasahau kipindi hicho mara ya kwanza kwanza mzalendo unaambiwa leo usiku kutakuwa na disco, mzee mzima nilifurahi kumbe disco lenyewe lilikuwa la kukesha wiki sita na kuimba nyimbo tu kudadeki!!! Ikiisha moja inaaanzishwa nyingine..ole wako usinzie unakula doso la maana..


Aisee kipindi kile cha kwanza kwanza nilkuwa nawatukana maafande kimoyoni moyoni tena ukizingatia no sleep aisee..duuh nlitesekaga kweli yani..

Ikafika kipindi ikabidi nizoee tu..NILIKUNYWA MAJI MENGI MOYO UELEE na ikawa ishu tu ya kawaida na morale ikaongezeka... Kipindi nakaribia kumaliza kozi nilitamani nibaki ila ndio hivo tena daaaaaaah
 

Duhhhhhhhhhhh kumbe nadhani
Mi ningeenda huko ningekufa nadhani asante mungu nilisomaga Zama za kati

Cc Smart911
 
Usingekufa ila tu cha moto ungekiona..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana chezea Jeshi..ukimuona mtu na nyota zake begani ujue kafight kweli [emoji123][emoji123]

Dahhhhhhhhhhh kuna ajira mpya fulani enzi wameajiriwa duh ni habari za sijui kruta mara bakabaka mara karanga six Week duh utasikia dogo acha ku rob rob khah
 
Mama Jane, mama.. Mama Jane, mama Jane usilie,, ale weeeeeeeer
 
Depoooooo....mamaaa depoooo...depooooo....sifaa moraliiiii!!

naliaaaa nasikitika oohoo mamaaaaaa.....
 
Ya mtoto hio ya mtoto hio haina maji, haina maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…