Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hizo ni nyimbo ambazo Kuruta huimba wakiwa depo...huko kwenye kambi za jeshi mfano Ruvu jkt, Kabuku Jkt, bulombora jkt, makutopora, Monduli, Mafinga n.k.Ninini iko??
Nyimbo hizo huimbwa kwa ajili ya kuchangamka na kutia hamasa ya uchapaji kazi jeshini..
Pia katika matembezi marefu (Route Match) hizi nyimbo pia huimbwa