Nimemiss Chenja

Nilipoambiwa kumbe tumeanza 6 weeks kuwa hakuna kulala nilikuwa siamini amini,afande kuruta huwa haamini mpaka atoke damu

Mi baada ya ufunguz nkajua tutalala baada ya uchovu nkashangaa saa nne usuku ndo kwanza yanaanza mvua kubwa ilinyesha hakuna kuturuhusu tujifiche balaaa
 
haiwezekani kamanda maji kupanda mlimaaaa...

malela kumanya aeeee
malela kumanyaa....
 
kurutiiii utabeba dunia....mamaeee..nimemiss hadi matusi yao[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…