Si unajua vijana damu bado zinachemka ndo mambo yetu haya[emoji23]Nakuona bwana mkunaji limekupata pele [emoji1] [emoji1]
umeadimika nikasema umeolewa kimya kimya bila taarifa. Tutafutane bwanaNipo shemela, nipo...
Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.
Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.
leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
Hivi tatizo nini?Duh me pia natamani kumuonesha mpnz wangu mahaba kama tulivyokuwa mwanzo ila ndio najiuliza naanzaje yaani mpaka natamani nianzishe mahusiano mapya
Wapi mfalme...?kuja huku basi?
Tatizo pele lenyewe hali-respond kama mkunaji anavyotakaNakuona bwana mkunaji limekupata pele 😄 😄
Eti eeh...Mwambie bwanako/mmeo akutongoze upya.
Hahaha baharia mwenzangu vipi jomonii...pole aisee..hata Mimi nimemiss baadhi ya vitu kama vyako..em jomonii mmoja anitumie msj ya kuniambia kanimiss hata ya uongoo tuu...[emoji23][emoji23]
Waiting.....Yangu iko njiani
kwenye ufalme wangu[emoji8]Wapi mfalme...?
Hivo hivo nataka kubebishwa hadi nikiwa ajuzaUshazeeka tatizo
Hahah sawa mfalme...!!!kwenye ufalme wangu[emoji8]
Aiiii shemejiumeadimika nikasema umeolewa kimya kimya bila taarifa. Tutafutane bwana
malizia...Mswati[emoji23]Hahah sawa mfalme...!!!
Ndiiwoooo....wewe ni mfalme mswati wa ii😂malizia...Mswati[emoji23]
SASA mnadanganyana... umewahi ona JPM anarudi kuomba kura wakati keshaupata uraisi?!Eti eeh...
Mpaka aambiwe?
Huwa nawaza mambo madogo madogo aliyonikosea napata jazba, nakingine me nawaza turudi kama zamani, je na mwenzangu nayeye anawaza hivyo? Maana unaweza kuonesha mapenzi mwisho wasiku akakuona kitukoHivi tatizo nini?
Si mnasemaga kwa matendo..... We kajipitishe pitishe bin kujirengesha atajua cha kufanyaEti eeh...
Mpaka aambiwe?