Nimemiss kupendwa....

Kupendwa raha ES asikwambie mtu. Unakuwa na furaha 24/7 unanawiri na kuzidi kuvutia. Hata ukilala unalala na tabasamu na ukisikia sauti ya akupendae hadi ES 😜anafurahia kwa kuchafua nonino. Pole sana Best.

 
Have two kids, I love them lakini haijanifanya nipunguze kumpenda baba yao nampenda mno kama zamani tu teh ndo maana bado natamani tuwe na makopa kopa yetu japo najua majukumu tu yanamtinga hny wangu

Hivi nani aliwaambia huwa tunahamishia upendo kwa watoto 🤷🏿‍♀️[emoji15]
 
Nakuombea uendelee kulikosa tu teh
Dua lako limegoma, nimepata la kumalizia!! Ila acha nimalizie kumoyo..

Kifupi umenikosha kwa tabia ya kupenda kwichi kwichi, kuliko maelezo, mie napenda kuliko kula kiasi naona kabisa nimemzidia mama chanja, imebidi kujinyima raha mimi wakati mwingine kwa kumuonea huruma yeye.
 
Huwa nawaza mambo madogo madogo aliyonikosea napata jazba, nakingine me nawaza turudi kama zamani, je na mwenzangu nayeye anawaza hivyo? Maana unaweza kuonesha mapenzi mwisho wasiku akakuona kituko
Dah.
 
Kungwi kapigwa, yan dah...but pole sana baby, njoo DM kama hutajali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…