Nimemiss kupendwa....

Nimemiss kupendwa....

Nimeitwa nitoe ushauri, nimejikuta na miss na mimi.
Evelyn Salt... Daby
Hivi do men really understand that we miss the cuddling, the date nights, the spontaneous sex..... the out of the norm sex... the banging and the smacking typa sex.....😃😃😃😃😃

I miss being in love... so deep so silly in love. Na hasa kwa sisi tuliochelewa kuanza mahusiano kisa high standards na principles.... matokeo yake we got married to the only people we have dated.

Sasa unajikuta unajiuliza what ifs kibao.🤔🤔Audhubillah.😉😉
Bora hata wewe umesema, hahaha haya mambo yako serious aseee...
Cc Eli79
 
Mshazeeka leeni watoto!
 
Njoo nikupende

Sio wewe

Naiandikia bia hapa

Mkuu ni vyema ukijipenda wewe inatosha kabisa
 
Mnaw
Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.

Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.

leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
Mnaeza kujikumbushia wee na baba nanii mnatoana out, mnapeana zawad
 
Ushawahi kujisikia hisia za hivi? Unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.

Tafuta hawara utafanyiwa yote hayo

Mke wa mtu analiwa kwa style iyo unayotaka wewe tena kirahisi tu
 
Kupendwa RAHA SANA!!! ♥️♥️♥️

Back
Top Bottom