Nimemiss kupendwa....

Yale ya "I love you crazy" mmh hayo yapo level ya juu sana nikipewa hayo moyo utaenda mbio, presha itapanda nitakufa...nataka haya ya level za kawaida
Tatizo kuu la wanawake wa kibongo wanapenda kulipiwa bills!

Wakiwapata walipa bills wanatafta wapenzi wapya maana mtoa pesa anakuwa bidii yake imeishia kwenye kulipa bills Mapenzi sio sana! Akifumaniwa anaachwa anaanza upya kutafta mlipa bills mwengine and the cycle continues!
 
So kumbe umeolewa na ur first date?
 
Tafuta hela acha kulalamika[emoji851]
 
Mi nimeelewa sana.
Ila nilishalifanyia kazi siju nying sana hili tatizo and I'm gud.
Mungu ni mwema.

Weeeeeh texts za "I know you are sleeping, but I wish that sleep would be here on my torso"

Uhhuhuhuhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…