Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Naww used kweli kama gari za kijapani😂😂😂waliotumika pia sio mbaya sababu nami ni used[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naww used kweli kama gari za kijapani😂😂😂waliotumika pia sio mbaya sababu nami ni used[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naww used kweli kama gari za kijapani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmmhhh....ndo nyienyie akina gwajima😂sijatumika kivile, nilikuwa Padri, so nimepitwa na mengi[emoji23]
Bado tunarudi pale pale hayo mambo yanategemea....I like sex, I like sex nadhani vitu vinavonipa furaha Mimi in sex na hela ngoja nicheke kwanza ntamalizia..sema bwana, tunajifunza ujuwe!!
Hahaha, we noma sana! You like sex more than normal? Huenda wewe ni sex maniac [emoji16][emoji16].Bado tunarudi pale pale hayo mambo yanategemea....I like sex, I like sex nadhani vitu vinavonipa furaha Mimi in sex na hela ngoja nicheke kwanza ntamalizia
Mi sikinai labda paume ndo nipapumzisheHahaha, we noma sana! You like sex more than normal? Huenda wewe ni sex maniac [emoji16][emoji16].
Hem' niambie, una uwezo wa kugongana kila siku bila kukinai?
Hahaha!!Mi sikinai labda paume ndo nipapumzishe
Na mie mtu asiependa sex hatuendani teh (hivi Elli unaniuliza nini lakini teh)
Anza wewe Kuonesha hayo mahaba ,uone kama hayaja kurudia yakiwa yame changanywa *100 ! Msipende hivi vitu vianzie upande mmoja tuu...Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.
Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.
leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
SawaAnza wewe Kuonesha hayo mahaba ,uone kama hayaja kurudia yakiwa yame changanywa *100 ! Msipende hivi vitu vianzie upande mmoja tuu...
Mother Confessor nifungulie PM nataka ku confessHahaha baharia mwenzangu vipi jomonii...pole aisee..hata Mimi nimemiss baadhi ya vitu kama vyako..em jomonii mmoja anitumie msj ya kuniambia kanimiss hata ya uongoo tuu...😂😂
Reserve ya nini mkuu, weka mambo hadharani kama msondo ngoma, tupia 1st 11 hapa watu waelewe....sema bwana, tunajifunza ujuwe!!
Em confess kwanza hapa nipate nguvu ya kwenda kufungua pm🤓Mother Confessor nifungulie PM nataka ku confess
Dah!!Mi sikinai labda paume ndo nipapumzishe
Na mie mtu asiependa sex hatuendani teh (hivi Elli unaniuliza nini lakini teh)
Hili jambo wengi wanafeli, hiki kitu ndio nikamuuliza unataman hiv na vile, je wewe unatoa hivi na vile!!? Kusiliwe kwa mwali na kwa kungwi nako kuliwe piaAnza wewe Kuonesha hayo mahaba ,uone kama hayaja kurudia yakiwa yame changanywa *100 ! Msipende hivi vitu vianzie upande mmoja tuu...
Your right !Hili jambo wengi wanafeli, hiki kitu ndio nikamuuliza unataman hiv na vile, je wewe unatoa hivi na vile!!? Kusiliwe kwa mwali na kwa kungwi nako kuliwe pia
Ukiona mambo yako hayaendi, nenda wewe.
Nakuombea uendelee kulikosa tu tehDah!!
Nimekosa neno sahihi la kumalizia