Nimemiss sana mademu wa club

Nimemiss sana mademu wa club

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Week ijayo nikiwa nafikisha miaka kadhaa ya ndoa yangu ,kiukweli nimewamiss sana wadada club.

Nawamiss sana asee ndoa na majukumu ya familia yamenikaba hasa hii awamu ya tano..ila nikiwa naelekea kusherekea hii miaka kadhaa ya ndoa sina budi kuwaambia nawamiss sana.

Hasa madada wa club zifuatazo Club VIP Iringa,Club zote za Sinza,Club fussion,club city cabana na ile club maarufu iliyokuwa karibu na salma cone Mwanza..

Wenu katika ujenzi wa Taifa
Mr kidaganda.
 
Wewe bado hujastahili kuitwa Mume wa Ndoa au M baba

Wababa huwaza familia na kama ni kumiss huwa wanamiss zawadi za uchumba na kucheza kwaito siku ya harusi yao.
 
hahaha hapana mkuu mie namtetea! kila mtu kuna kitu ndan yake huwa km hobby... hyo yeye alikua anapenda kwenda club bwana.. so ukimiss ndo umekosa 'vigedho' mkuu! sipend unafki hebu kuwa 'real'..... ! acha kbs mkuu ! mie nakumbuka SANAA ya hapo posta dadek
 
Ndg kuna vitu unavimiss kwenye vya ujana basi tu wakati unakuwa si rafiki kwako..
 
hahaha hapana mkuu mie namtetea! kila mtu kuna kitu ndan yake huwa km hobby... hyo yeye alikua anapenda kwenda club bwana.. so ukimiss ndo umekosa 'vigedho' mkuu! sipend unafki hebu kuwa 'real'..... ! acha kbs mkuu ! mie nakumbuka SANAA ya hapo posta dadek
Asante kwa utetezi wako...tatizo bongo mtu ukiwa mkweli watu wanakuona hujakidhi vigezo vya kuhandle familia...Kiukweli nimemiss kwenda club..
 
hahha mara ya mwisho umeenda lini mkuu.. mie kila ijumaa huwa nakuwa km mgonjwa na ninaish karibu na mjnii bas naskiaga bang za kufa mtu na'shake' humo humo kwenye shuka!arghhhhhhhhh
 
Siku hizi nipo vijijini huku wilayani hakuna club zaidi ya vi bar uchwara.
 
pole sana mhenga mwenzangu siku ukirud dar kajimix walau siku 1...nimepita sinza last weeks kuna mabadiliko kweli kweli yan!.. me naitafuta hyo siku nikabang kias aic nisuuze moyo...
 
Week ijayo nikiwa nafikisha miaka kadhaa ya ndoa yangu ,kiukweli nimewamiss sana wadada club.

Nawamiss sana asee ndoa na majukumu ya familia yamenikaba hasa hii awamu ya tano..ila nikiwa naelekea kusherekea hii miaka kadhaa ya ndoa sina budi kuwaambia nawamiss sana.

Hasa madada wa club zifuatazo Club VIP Iringa,Club zote za Sinza,Club fussion,club city cabana na ile club maarufu iliyokuwa karibu na salma cone Mwanza..

Wenu katika ujenzi wa Taifa
Mr kidaganda.
Ndio shida ya waafrika... ndoa huwa mnaifanya ni jehanam.....

Nani kakwambia ukiwa ndoani kwenda club marufuku? Acheni utumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom