Ndio maana miaka ya kuishi Waafrika ni michache sanaWewe bado hujastahili kuitwa Mume wa Ndoa au M baba
Wababa huwaza familia na kama ni kumiss huwa wanamiss zawadi za uchumba na kucheza kwaito siku ya harusi yao.
Wewe bado hujastahili kuitwa Mume wa Ndoa au M baba
Wababa huwaza familia na kama ni kumiss huwa wanamiss zawadi za uchumba na kucheza kwaito siku ya harusi yao.
Ndio maana miaka ya kuishi Waafrika ni michache sana
Job Home Church Home Job Church
Chief Economist
Ndg kuna vitu unavimiss kwenye vya ujana basi tu wakati unakuwa si rafiki kwako..Wewe bado hujastahili kuitwa Mume wa Ndoa au M baba
Wababa huwaza familia na kama ni kumiss huwa wanamiss zawadi za uchumba na kucheza kwaito siku ya harusi yao.
Asante kwa utetezi wako...tatizo bongo mtu ukiwa mkweli watu wanakuona hujakidhi vigezo vya kuhandle familia...Kiukweli nimemiss kwenda club..hahaha hapana mkuu mie namtetea! kila mtu kuna kitu ndan yake huwa km hobby... hyo yeye alikua anapenda kwenda club bwana.. so ukimiss ndo umekosa 'vigedho' mkuu! sipend unafki hebu kuwa 'real'..... ! acha kbs mkuu ! mie nakumbuka SANAA ya hapo posta dadek
Asante kwa utetezi wako...tatizo bongo mtu ukiwa mkweli watu wanakuona hujakidhi vigezo vya kuhandle familia...Kiukweli nimemiss kwenda club..
Siku hizi nipo vijijini huku wilayani hakuna club zaidi ya vi bar uchwara.hahha mara ya mwisho umeenda lini mkuu.. mie kila ijumaa huwa nakuwa km mgonjwa na ninaish karibu na mjnii bas naskiaga bang za kufa mtu na'shake' humo humo kwenye shuka!arghhhhhhhhh
Siku hizi nipo vijijini huku wilayani hakuna club zaidi ya vi bar uchwara.
weka mzik home kwako umkamatie chin mkeo
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Ndio shida ya waafrika... ndoa huwa mnaifanya ni jehanam.....Week ijayo nikiwa nafikisha miaka kadhaa ya ndoa yangu ,kiukweli nimewamiss sana wadada club.
Nawamiss sana asee ndoa na majukumu ya familia yamenikaba hasa hii awamu ya tano..ila nikiwa naelekea kusherekea hii miaka kadhaa ya ndoa sina budi kuwaambia nawamiss sana.
Hasa madada wa club zifuatazo Club VIP Iringa,Club zote za Sinza,Club fussion,club city cabana na ile club maarufu iliyokuwa karibu na salma cone Mwanza..
Wenu katika ujenzi wa Taifa
Mr kidaganda.
Hahahaha, Njerees bistro Leganga.... Sky lounge.... babilony..... pinpoint....billionaires hizi club ni shida pale Arusha....Hujataja hata club moja ya Arusha...i doubt njereeeh!
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Acheni woga ndo maana mnakufa mapemaNdg kuna vitu unavimiss kwenye vya ujana basi tu wakati unakuwa si rafiki kwako..